Jumapili ya tarehe 12/10/2014, watoto wa Shule ya Jumapili ya Azania Front na waalimu wao waliaadhimisha sikukuu ya Mikaeli katika
ibada zote kwa nyimbo, ngonjera na kukariri mistari ya biblia. Walionyesha umahirina kujiamini katika yote walioonyeshambele ya
washarika. Aidha walikuwa na ujumbe uliogusa rika zote.
Watoto wakijiandaa kuingia kwenye ibada ya Sikukuu ya Mikaeli na watoto
Mwalimu Peter akiwaingiza watoto kwenye ibada
Watoto wakiimba na kucheza katika kusherekea sikukuu ya Mikaeli na watoto
Watoto wakiendelea kuimba wakiwa na mwalimu wao Josephine
Wakiimba kwa vitendo
Wakipokezana kusema mistari ya biblia waliyokariri
Wakiendelea kuimba
Hata wadogo wadogo walikuwepo pia bila woga
Watoto wakitoa ujumbe wa neno la Mungu kwa njia ya Ngonjera
Ngonjera zikiiendelea
Steen Mwakilasa, Mwalimu wa muziki wa watoto
Mwenyekiti wa kamati ya malezi mzee E. Mlaki, akitoa salaam za Sikukuu ya Mikaeli na Watoto
Mch. Manford na mtoto aliyeoongoza liturgia wakipokea sadaka.
Baadhi ya waalimu wa shule ya jumapili
Mch. Manford akiwapongeza waalimu
Mch. Manford akisema jambo
Katikati ni Fedilia Urasa, Parish worker wa usharika
Mch. Manford akitoa mahubiri.
Mchungaji akitoa baraka za kufunga ibada ya Sikukuu ya Mikaeli na Watoto, Kushoto ni Mwl. Peter na Mwisho kulia ni Mwal. Jane Mhina
Watoto walioshiriki ibada ya Mikaeli na watoto wakiwa katika picha ya pamoja baada ya ibada.