Date: 
11-11-2020
Reading: 
Matthew 24:45-51

WEDNESDAY 11TH NOVEMBER 2020 MORNING                                     

Matthew 24:45-51 New International Version (NIV)

45 “Who then is the faithful and wise servant, whom the master has put in charge of the servants in his household to give them their food at the proper time? 46 It will be good for that servant whose master finds him doing so when he returns. 47 Truly I tell you, he will put him in charge of all his possessions. 48 But suppose that servant is wicked and says to himself, ‘My master is staying away a long time,’ 49 and he then begins to beat his fellow servants and to eat and drink with drunkards. 50 The master of that servant will come on a day when he does not expect him and at an hour he is not aware of. 51 He will cut him to pieces and assign him a place with the hypocrites, where there will be weeping and gnashing of teeth.

God has ordered his family and arranged his household in such a way that only faithful and wise servants are given managerial positions in the household and the opportunity to provide nourishment for the family. 

If you are a member of God’s household, you have been given a specific area of oversight that you are to take care of.


JUMATANO TAREHE 11 NOVEMBA 2020  ASUBUHI                                 

MATHAYO 24:45-51

45 Ni nani basi yule mtumwa mwaminifu mwenye akili, ambaye bwana wake alimweka juu ya nyumba yake, awape watu chakula kwa wakati wake?
46 Heri mtumwa yule, ambaye bwana wake ajapo atamkuta akifanya hivyo.
47 Amin, nawaambieni, atamweka juu ya vitu vyake vyote.
48 Lakini mtumwa yule mbaya akisema moyoni mwake, Bwana wangu anakawia;
49 akaanza kuwapiga wajoli wake, na kula na kunywa pamoja na walevi;
50 bwana wake mtumwa huyo atakuja siku asiyodhani, na saa asiyojua,
51 atamkata vipande viwili, na kumwekea fungu lake pamoja na wanafiki; ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno.

Mungu ameweka utaratibu katika familia yake na kupanga nyumba yake katika njia ambayo watumishi waaminifu na wenye hekima tu, ndiyo wanaopewa nafasi za kusimamia nyumba yake; na fursa ya kutoa chakula kwa familia hiyo.

Ikiwa wewe ni mmoja katika familia ya Mungu, basi fahamu kuwa umepewa eneo maalum ambalo unahitaji kuwa mwangalizi.