Date: 
30-06-2021
Reading: 
Matthew 12:9-14

WEDNESDAY 30TH JUNE 2021   MORNING                                     

Matthew 12:9-14 New International Version (NIV)

Going on from that place, he went into their synagogue, 10 and a man with a shriveled hand was there. Looking for a reason to bring charges against Jesus, they asked him, “Is it lawful to heal on the Sabbath?”

11 He said to them, “If any of you has a sheep and it falls into a pit on the Sabbath, will you not take hold of it and lift it out? 12 How much more valuable is a person than a sheep! Therefore it is lawful to do good on the Sabbath.”

13 Then he said to the man, “Stretch out your hand.” So he stretched it out and it was completely restored, just as sound as the other. 14 But the Pharisees went out and plotted how they might kill Jesus.

We need Jesus to enable us to follow God’s laws. Jesus understands the way of God, He understands the love of God, and He has the power of God. We are Christians to serve others and not to be served. We keep the laws to serve others better. So, let us build our church on that foundation of compassion because God wants us to live abundant life.


JUMATANO TAREHE 30 JUNE 202I   ASUBUHI                              

MATHAYO 12:9-14

9 Akaondoka huko, akaingia katika sinagogi lao.
10 Na tazama, yumo mtu mwenye mkono umepooza; wakamwuliza, wakisema, Ni halali kuponya watu siku ya sabato? Wapate kumshitaki.
11 Akawaambia, Ni mtu yupi miongoni mwenu mwenye kondoo mmoja, na yule kondoo ametumbukia shimoni siku ya sabato, asiyemshika akamwopoa?
12 Je! Mtu ni bora kuliko kondoo mara ngapi? Basi ni halali kutenda mema siku ya sabato.
13 Kisha akamwambia yule mtu, Nyosha mkono wako; akaunyosha, ukapona, ukawa mzima kama wa pili.
14 Lakini wale Mafarisayo wakatoka wakafanya shauri juu yake jinsi ya kumwangamiza.

Tunamhitaji Yesu ili atuwezeshe kuzifuata sheria za Mungu. Yesu anaijua njia ya Mungu, anaelewa upendo wake, na anayo nguvu ya Mungu. Tumeitwa Wakristo ili tuwatumikie wengine na siyo kutumikiwa. Tunazishika sheria ili zituwezeshe kuwatumikia wengine vyema. Hivyo, tujenge kanisa letu katika msingi wa huruma kwa sababu Mungu anapenda tuishi maisha yenye uzima tele.