Date: 
01-05-2021
Reading: 
Marko 9:45-50

JUMAMOSI TAREHE 1/05/2021, ASUBUHI

MARKO 9:45-50

45. Na mguu wako ukikukosesha, ukate! Afadhali kuingia katika uhai bila mguu mmoja, kuliko kuwa na miguu yote miwili na kutupwa katika moto wa Jehanamu. [

46. Humo, wadudu wake hawafi na moto hauzimiki.]

47. Na jicho lako likikukosesha, lingoe! Afadhali kuingia katika ufalme wa Mungu ukiwa na jicho moja tu, kuliko kuwa na macho yako yote mawili na kutupwa katika moto wa Jehanamu.

48. Humo wadudu wake hawafi, na huo moto hauzimiki.

49. “Maana kila mmoja atatiwa chumvi kwa moto.

50. Chumvi ni nzuri, lakini ikipoteza ladha yake, itakolezwa na nini? Muwe na chumvi ndani yenu na kudumisha amani kati yenu.”

Kusoma sura kamili Marko 9

Mungu anatuita tuondoe kile kinachosababisha sisi kujikwaa katika kumfuata Yeye. Katika maisha yetu kuna vishawishi vingi vinavyosababisha kumkosea Mungu. Tunapaswa kushinda vishawishi hivyo na kuondoa mazingira yote yanayotupelekea kumkosea Mungu.


SATURDAY 1ST MAY 2021, MORNING

Mark 9:45-50 New International Version

45 And if your foot causes you to stumble, cut it off. It is better for you to enter life crippled than to have two feet and be thrown into hell. [46] [a] 47 And if your eye causes you to stumble, pluck it out. It is better for you to enter the kingdom of God with one eye than to have two eyes and be thrown into hell, 48 where

“‘the worms that eat them do not die,
    and the fire is not quenched.’[b]

49 Everyone will be salted with fire.

50 “Salt is good, but if it loses its saltiness, how can you make it salty again? Have salt among yourselves, and be at peace with each other.”

Read full chapter

Footnotes

  1. Mark 9:46 Some manuscripts include here the words of verse 48.
  2. Mark 9:48 Isaiah 66:24

God calls us to remove that which causes us to stumble in following Him.

Katika maisha yetu kuna vishawishi vingi vinavyosababisha kumkosea Mungu. Tunapaswa kushinda vishawishi hivyo na kuondoa mazingira yote yanayotupelekea kumkosea Mungu.