Date: 
10-04-2017
Reading: 
Mark 11:15-19 (NIV)

MONDAY  10TH APRIL 2017 MORNING                                                

Mark 11:15-19 New International Version (NIV)

15 On reaching Jerusalem, Jesus entered the temple courts and began driving out those who were buying and selling there. He overturned the tables of the money changers and the benches of those selling doves,16 and would not allow anyone to carry merchandise through the temple courts. 17 And as he taught them, he said, “Is it not written: ‘My house will be called a house of prayer for all nations’[a]? But you have made it ‘a den of robbers.’[b]

18 The chief priests and the teachers of the law heard this and began looking for a way to kill him, for they feared him, because the whole crowd was amazed at his teaching.

19 When evening came, Jesus and his disciples[c] went out of the city.

Footnotes:

  1. Mark 11:17 Isaiah 56:7
  2. Mark 11:17 Jer. 7:11
  3. Mark 11:19 Some early manuscripts came, Jesus

Jesus was angry at the abuse of the temple and the exploitation of worshippers. The Temple courts were the only place were non-Jews could worship. People who wanted to bring animals to sacrifice were charged exorbitant prices.  Jesus wanted a true spirit of worship and reverence to God to be seen in the Temple.

May God help us truly to worship Him in Spirit and truth.

JUMATATU TAREHE 10 APRILI 2017 ASUBUHI                               

MARKO 11:15-19

15 Wakafika Yerusalemu, naye akaingia ndani ya hekalu, akaanza kuwafukuza wale waliokuwa wakiuza na kununua ndani ya hekalu, akazipindua meza za wabadili fedha, na viti vyao wauzao njiwa; 
16 wala hakuacha mtu achukue chombo kati ya hekalu. 
17 Akafundisha, akasema, Je! Haikuandikwa, Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala kwa mataifa yote? Bali ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyang'anyi. 
18 Wakuu wa makuhani na waandishi wakapata habari wakatafuta jinsi ya kumwangamiza; maana walimwogopa, kwa sababu mkutano wote walishangaa kwa mafundisho yake. 
19 Na kulipokuwa jioni alitoka mjini. 
 

Yesu alikasirika sana lipoona jinsi Hekalu la Mungu lilipogeuzwa mahali pa biashara. Wafanya biashara walidharau utakatifu wa hekalu na waliwaonea waamini kwa kuweka bei kubwa za wanyama wa sadaka. Waamini wakitaka kumtolea Mungu sadaka ilibidi wanunua kwa bei ya juu.

Mungu atusaidie kumwabudu katika Roho na Kweli.