Date: 
10-04-2019
Reading: 
Mark 10:45

WEDNESDAY 10TH APRIL 2019 MORNING                                                        

Mark 10:45 New International Version (NIV)

45 For even the Son of Man did not come to be served, but to serve, and to give his life as a ransom for many.”

The death and resurrection of Jesus Christ are the heart of the Gospel message. Jesus died in our place so that our sins can be forgiven and we can be reconciled to God. God love us so much despite our sin and rebellion, that He was prepared to leave the glory of heaven and be born into a poor family. Finally Christ bore the shame and pain of the cross to set us free from sin.

Let us praise and worship God for our great salvation.  

 

                

JUMATANO     TAREHE 10 APRILI 2019 ASUBUHI                                       

MARKO 10:45

45 Kwa maana Mwana wa Adamu naye hakuja kutumikiwa, bali kutumika, na kutoa nafsi yake iwe fidia ya wengi.

Kifo na kufufuka kwa Yesu Kristo ni kiini cha ujumbe was Injili. Yesu alikufa kwa niaba yetu ili dhambi zetu ziweze kusamehewa na tupatanishwe na Mungu. Mungu alitupenda sana hata pamoja na dhambi na uasi wetu. Ndiyo maana Yesu Alikuwa tayari kushuka  kutoka mbinguni na kuzaliwa katika familia maskini. Kisha alikufa msalabani kifo cha aiba na maumivu kali. Alivumilia kwa ajili yetu ili tuweze kuokolewa.

Tumsifu Mungu kwa wokovu wetu.