Date: 
25-10-2016
Reading: 
Jeremiah 22:7-12 New International Version (NIV)

TUESDAY 25TH OCTOBER 2016 MORNING                          

Jeremiah 22:7-12  New International Version (NIV)

I will send destroyers against you,
    each man with his weapons,
and they will cut up your fine cedar beams

    and throw them into the fire.

“People from many nations will pass by this city and will ask one another, ‘Why has the Lord done such a thing to this great city?’ And the answer will be: ‘Because they have forsaken the covenant of the Lord their God and have worshiped and served other gods.’”

10 Do not weep for the dead king or mourn his loss;
    rather, weep bitterly for him who is exiled,
because he will never return

    nor see his native land again.

11 For this is what the Lord says about Shallum[a] son of Josiah, who succeeded his father as king of Judah but has gone from this place: “He will never return. 12 He will die in the place where they have led him captive; he will not see this land again.”

Footnotes:

  1. Jeremiah 22:11 Also called Jehoahaz

Through the Prophet Jeremiah God proclaimed judgement upon His people. The King and people of Judah had not been faithful to God so God allowed them to be taken captive and their country destroyed. God was executing judgement on His people because of their sins and rebellion against Him.

Think about your own life. Is there an area in which you are disobeying God? Repent and turn to God again and He will forgive you and restore you.

 

 

JUMANNE TAREHE 25 OKTOBA 2016 ASUBUHI      

YEREMIA 22:7-12

 

7 Nami nitakufanyia tayari watu wenye kuharibu, kila mtu na silaha zake; Nao watakata mierezi miteule yako, na kuitupa motoni. 
8 Na mataifa mengi watapita karibu na mji huu, nao watasema kila mtu na jirani yake, Nini maana yake Bwana kuutenda hivi mji huu mkubwa? 
9 Ndipo watakapojibu, Ni kwa sababu waliliacha agano la Bwana, Mungu wao, wakaabudu miungu mingine, na kuitumikia. 
10 Msimlilie aliyekufa, wala msimwombolezee, Bali mlilieni huyo aendaye zake mbali; Kwa maana yeye hatarudi tena, Wala hataiona nchi aliyozaliwa. 
11 Maana Bwana asema hivi, katika habari za Shalumu, mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda; aliyemiliki badala ya Yosia, baba yake, yeye aliyetoka mahali hapa; Hatarudi huku tena; 
12 bali katika mahali pale walipomchukua mateka ndipo atakapokufa, wala hataiona nchi hii tena kamwe. 
 

Mungu alimtumia nabii Yeremia kuonya mfalme na watu wa Yuda. Mfalme alipotosha watu na walimwasi Mungu. Waliabudu miungu wengine. Kwa sababu hii Mungu aliwaadhibu na aliwaruhusu  maadui kuwateka watu wa Yuda.

Tafakari kuhusu maisha yako na mwenendo wako. Je! Kuna eneo katika maisha yako ambalo unamwasi Mungu? Tubu dhambi zako na kumrejea Mungu, naye atakusamehe.