Date: 
06-08-2019
Reading: 
Isaiah 58:10-14

TUESDAY  6TH AUGUST 2019 MORNING                                    

Isaiah 58:10-14 New International Version (NIV)

10 and if you spend yourselves in behalf of the hungry
    and satisfy the needs of the oppressed,
then your light will rise in the darkness,

    and your night will become like the noonday.
11 The Lord will guide you always;
    he will satisfy your needs in a sun-scorched land
    and will strengthen your frame.
You will be like a well-watered garden,

    like a spring whose waters never fail.
12 Your people will rebuild the ancient ruins
    and will raise up the age-old foundations;
you will be called Repairer of Broken Walls,

    Restorer of Streets with Dwellings.

13 “If you keep your feet from breaking the Sabbath
    and from doing as you please on my holy day,
if you call the Sabbath a delight

    and the Lord’s holy day honorable,
and if you honor it by not going your own way

    and not doing as you please or speaking idle words,
14 then you will find your joy in the Lord,
    and I will cause you to ride in triumph on the heights of the land
    and to feast on the inheritance of your father Jacob.”
For the mouth of the Lord has spoken.

These words are part of God’s message to His people about how He wants them to behave.  God shows us that as well as worshipping Him we should also be concerned for those in need and to do what we can to help them. God promises to bless His people when they obey Him.


JUMANNE TAREHE 6 AGOSTI 2019 ASUBUHI             

ISAYA 58:10-14

10 na kama ukimkunjulia mtu mwenye njaa nafsi yako, na kuishibisha nafsi iliyoteswa; ndipo nuru yako itakapopambazuka gizani; na kiwi chako kitakuwa kama adhuhuri. 
11 Naye Bwana atakuongoza daima, ataishibisha nafsi yako mahali pasipokuwa na maji, na kuitia nguvu mifupa yako; nawe utakuwa kama bustani iliyotiwa maji, na kama chemchemi ambayo maji yake hayapungui. 
12 Na watu wako watapajenga mahali palipokuwa ukiwa; utaiinua misingi ya vizazi vingi; nawe utaitwa, Mwenye kutengeneza mahali palipobomoka; na, Mwenye kurejeza njia za kukalia. 
13 Kama ukigeuza mguu wako usihalifu sabato, usifanye anasa yako siku ya utakatifu wangu; ukiita sabato siku ya furaha, na siku takatifu ya Bwana yenye heshima; ukiitukuza, kwa kutokuzifanya njia zako mwenyewe, wala kuyatafuta yakupendezayo, wala kusema maneno yako mwenyewe; 
14 ndipo utakapojifurahisha katika Bwana; nami nitakupandisha mahali pa nchi palipoinuka; nitakulisha urithi wa Yakobo baba yako; kwa maana kinywa cha Bwana kimenena hayo.

                    

Somo la leo ni sehemu ya maelezo ya Mungu kupitia Nabii Isaya. Anawaelezea Watu wake jinsi wanapaswa kutenda. Pamoja na kusali na kumwabudu Mungu. Mungu alitaka watu wajali binadamu wenzake na kujitahidi kusaidia wahitaji.

Mungu anaahidi kubariki watu wake wanaomtii.