Date: 
08-12-2016
Reading: 
Isaiah 40:1-5, Thur 8th Dec.

THURSDAY 8TH DECEMBER 2016 MORNING                                  

Isaiah 40:1-5  New International Version (NIV)

Comfort for God’s People

1 Comfort, comfort my people,
    says your God.
Speak tenderly to Jerusalem,
    and proclaim to her
that her hard service has been completed,

    that her sin has been paid for,
that she has received from the Lord’s hand

    double for all her sins.

A voice of one calling:
“In the wilderness prepare

    the way for the Lord[a];
make straight in the desert

    a highway for our God.[b]
Every valley shall be raised up,
    every mountain and hill made low;
the rough ground shall become level,

    the rugged places a plain.
And the glory of the Lord will be revealed,
    and all people will see it together.
For the mouth of the Lord has spoken.”

Footnotes:

  1. Isaiah 40:3 Or A voice of one calling in the wilderness: / “Prepare the way for the Lord
  2. Isaiah 40:3 Hebrew; Septuagint make straight the paths of our God

 

These words of Isaiah are a message of comfort to the Jewish people in exile. They tell God has forgiven them and will restore them. The message also includes as prophecy

About John the Baptist and his ministry (v3).  Next week we will think more about the ministry of John the Baptist as we prepare ourselves to celebrate Christmas.

 

ALHAMISI TAREHE 8 DISEMBA 2016 ASUBUHI                      

ISAYA 40:1-5

1 Watulizeni mioyo, watulizeni mioyo, watu wangu, asema Mungu wenu. 
2 Semeni na moyo wa Yerusalemu, kauambieni kwa sauti kuu ya kwamba vita vyake vimekwisha, uovu wake umeachiliwa; kwa kuwa amepokea kwa mkono wa Bwana adhabu maradufu kwa dhambi zake zote. 
3 Sikiliza, ni sauti ya mtu aliaye, Itengenezeni nyikani njia ya Bwana; Nyosheni jangwani njia kuu kwa Mungu wetu. 
4 Kila bonde litainuliwa, Na kila mlima na kilima kitashushwa; Palipopotoka patakuwa pamenyoka, Na palipoparuza patasawazishwa; 
5 Na utukufu wa Bwana utafunuliwa, Na wote wenye mwili watauona pamoja; Kwa kuwa kinywa cha Bwana kimenena haya. 

Maneno ya nabii Isaya katika somo la leo, ni faraja aliyetoa Mungu kwa taifa lake wakiwa utumwani. Mungu aliahidi kuwasamehe na kuwarejesha. Pia katika mstari wa 3 kuna utabiri kuhusu Yohana Mbatizaji. Yohana aliandaa watu kumpokea Yesu Kristo wakati alipokuja duniani mara ya kwanza. Tutaendelea kutafakari kuhusu huduma ya Yohana Mbatizaji wiki ijayo tunapokaribia Krismasi.