Date: 
11-04-2017
Reading: 
Hebrews 9:11-15 (NIV)

TUESDAY 11TH APRIL 2017 MORNING                                           

Hebrews 9:11-15 New International Version (NIV)

The Blood of Christ

11 But when Christ came as high priest of the good things that are now already here,[a] he went through the greater and more perfect tabernacle that is not made with human hands, that is to say, is not a part of this creation. 12 He did not enter by means of the blood of goats and calves; but he entered the Most Holy Place once for all by his own blood, thus obtaining[b] eternal redemption. 13 The blood of goats and bulls and the ashes of a heifer sprinkled on those who are ceremonially unclean sanctify them so that they are outwardly clean. 14 How much more, then, will the blood of Christ, who through the eternal Spirit offered himself unblemished to God, cleanse our consciences from acts that lead to death,[c] so that we may serve the living God!

15 For this reason Christ is the mediator of a new covenant, that those who are called may receive the promised eternal inheritance—now that he has died as a ransom to set them free from the sins committed under the first covenant.

Footnotes:

  1. Hebrews 9:11 Some early manuscripts are to come
  2. Hebrews 9:12 Or blood, having obtained
  3. Hebrews 9:14 Or from useless rituals

The Jewish Old Testament animal sacrifices are just a shadow of the perfect sacrifice which Jesus offered when he died on the cross.  Thank God that Jesus’s death and resurrection provide atonement for your sins and the sins of all people.  Thank God that He loved you so much that He sent His only Son to die for you so that your sins can be forgiven.  

JUMANNE TAREHE 11 APRILI 2017 ASUBUHI                        

WAEBRANIA 9:11-15

11 Lakini Kristo akiisha kuja, aliye kuhani mkuu wa mambo mema yatakayokuwapo, kwa hema iliyo kubwa na kamilifu zaidi, isiyofanyika kwa mikono, maana yake, isiyo ya ulimwengu huu, 
12 wala si kwa damu ya mbuzi na ndama, bali kwa damu yake mwenyewe aliingia mara moja tu katika Patakatifu, akiisha kupata ukombozi wa milele. 
13 Kwa maana, ikiwa damu ya mbuzi na mafahali na majivu ya ndama ya ng'ombe waliyonyunyiziwa wenye uchafu hutakasa hata kuusafisha mwili; 
14 basi si zaidi damu yake Kristo, ambaye kwamba kwa Roho wa milele alijitoa nafsi yake kwa Mungu kuwa sadaka isiyo na mawaa, itawasafisha dhamiri zenu na matendo mafu, mpate kumwabudu Mungu aliye hai? 
15 Na kwa sababu hii ni mjumbe wa agano jipya, ili, mauti ikiisha kufanyika kwa kukomboa makosa yaliyokuwa chini ya agano la kwanza, hao walioitwa waipokee ahadi ya urithi wa milele.       

Sadaka za wanyama katika utaratibu wa dini ya Kiyahudi wakati wa Agano la Kale, ni kivuli tu cha sadaka kamili Yesu aliyotoa wakati alitufia msalabani. Kufa na kufuka kwa Yesu ni kazi kamili. Yesu alilipa deni kwa dhambi zako na za kila mtu.  

Mshukuru Mungu kwa sababu alikupenda sana na kumtoa Mwana wake wa kipekee, afe kwa ajili yako ili upatanishwe na Mungu mtakatifu.