Date: 
06-04-2017
Reading: 
Hebrews 8:1-6 (NIV)

FRIDAY 7TH APRIL 2017 MORNING                                              

Hebrews 8:1-6  New International Version (NIV)

The High Priest of a New Covenant

1 Now the main point of what we are saying is this: We do have such a high priest, who sat down at the right hand of the throne of the Majesty in heaven, and who serves in the sanctuary, the true tabernacle set up by the Lord, not by a mere human being.

Every high priest is appointed to offer both gifts and sacrifices, and so it was necessary for this one also to have something to offer. If he were on earth, he would not be a priest, for there are already priests who offer the gifts prescribed by the law. They serve at a sanctuary that is a copy and shadow of what is in heaven. This is why Moses was warned when he was about to build the tabernacle: “See to it that you make everything according to the pattern shown you on the mountain.”[a] But in fact the ministry Jesus has received is as superior to theirs as the covenant of which he is mediator is superior to the old one, since the new covenant is established on better promises.

Footnotes:

  1. Hebrews 8:5 Exodus 25:40
  2.  

We continue with the theme of yesterday showing how the Jewish religious ceremonies were a shadow and a preparation for what Christ completed. Even the Jewish sanctuary is a copy of what is in heaven.

Thank God for His wonderful plan of salvation. Make sure you are trusting in Jesus as your Lord and Saviour. 

IJUMAA TAREHE 7 APRILI 2017 ASUBUHI                            

WAEBRANIA  8:1-6

1 Basi, katika hayo tunayosema, neno lililo kuu ndilo hili: Tunaye kuhani mkuu wa namna hii, aliyeketi mkono wa kuume wa kiti cha enzi cha Ukuu mbinguni, 
2 mhudumu wa patakatifu, na wa ile hema ya kweli, ambayo Bwana aliiweka wala si mwanadamu. 
3 Maana kila kuhani mkuu huwekwa ili atoe vipawa na dhabihu; kwa hiyo lazima huyu naye awe na kitu cha kutoa. 
4 Kama angekuwa juu ya nchi, asingekuwa kuhani; maana wako watoao sadaka kama iagizavyo sheria; 
5 watumikiao mfano na kivuli cha mambo ya mbinguni, kama Musa alivyoagizwa na Mungu, alipokuwa tayari kuifanya ile hema; maana asema, Angalia ukavifanye vitu vyote kwa mfano ule ulioonyeshwa katika mlima. 
6 Lakini sasa amepata huduma iliyo bora zaidi, kwa kadiri alivyo mjumbe wa agano lililo bora, lililoamriwa juu ya ahadi zilizo bora. 
 

Tunaendelea na wazo la jana. Tunaendelea kujifunza jinsi utaratibu za dini ya Kiyahudi ni maandalizi ya hali halisi katika Yesu Kristo. Hata hema ya kukutanika kiyahudi ni mfano wa ile halisi kule mbinguni.

Mshukuru Mungu kwa mpango wake wa wokovu kwa watu wote. Uhakikishe kwamba unamtegemea Yesu  Kristo kama Bwana na Mwokozi wako.