Date: 
01-12-2020
Reading: 
Hebrews 10:32-36 (Waebrania 10:32-36)

MONDAY 30TH NOVEMBER 2020 MORNING                                                                      

Hebrews 10:32-36 New International Version (NIV)

32 Remember those earlier days after you had received the light, when you endured in a great conflict full of suffering. 33 Sometimes you were publicly exposed to insult and persecution; at other times you stood side by side with those who were so treated. 34 You suffered along with those in prison and joyfully accepted the confiscation of your property, because you knew that you yourselves had better and lasting possessions. 35 So do not throw away your confidence; it will be richly rewarded.36 You need to persevere so that when you have done the will of God, you will receive what he has promised.

It is good to remember where we have been, and to re-evaluate where we are going.

Christians draw encouragement from past experience of walking with the Lord. We stand back and see His sustaining grace, His provisions, joy of salvation, and praise to His glory and say ‘I saw God do it’. 


JUMATATU TAREHE 30 NOVEMBA 2020 ASUBUHI                                            

WAEBRANIA 10:32-36

32 Lakini zikumbukeni siku za kwanza, ambazo, mlipokwisha kutiwa nuru, mlistahimili mashindano makubwa ya maumivu;
33 pindi mlipotwezwa kwa mashutumu na dhiki, na pindi mliposhirikiana na wale waliotendewa hayo.
34 Maana mliwaonea huruma wale waliokuwa katika vifungo, tena mkakubali kwa furaha kunyang'anywa mali zenu, mkijua kwamba nafsini mwenu mna mali iliyo njema zaidi, idumuyo.
35 Basi msiutupe ujasiri wenu, kwa maana una thawabu kuu.
36 Maana mnahitaji saburi, ili kwamba mkiisha kuyafanya mapenzi ya Mungu mpate ile ahadi.       

Ni jambo jema kukumbuka tulikotoka, na kutathmini uelekeo wetu. Wakristo tunatiwa moyo kutokana na maisha yetu yaliyopita na jinsi tulivyoenenda na Bwana. Tunatazama tulikotoka na kuona neema yake katika utunzaji wake, furaha ya wokovu, na sifa kwa utukufu wake na kusema, “Nilimwona Mungu akitenda.”