Date: 
08-04-2017
Reading: 
Hebrews 10:1-7 (NIV)

SATURDAY  8TH APRIL 2017 MORNING                                

Hebrews 10:1-7New International Version (NIV)

Christ’s Sacrifice Once for All

1 The law is only a shadow of the good things that are coming—not the realities themselves. For this reason it can never, by the same sacrifices repeated endlessly year after year, make perfect those who draw near to worship. Otherwise, would they not have stopped being offered? For the worshipers would have been cleansed once for all, and would no longer have felt guilty for their sins. But those sacrifices are an annual reminder of sins. It is impossible for the blood of bulls and goats to take away sins.

Therefore, when Christ came into the world, he said:

“Sacrifice and offering you did not desire,
    but a body you prepared for me;
with burnt offerings and sin offerings
    you were not pleased.
Then I said, ‘Here I am—it is written about me in the scroll—
    I have come to do your will, my God.’”[a]

Footnotes:

  1. Hebrews 10:7 Psalm 40:6-8 (see Septuagint)

Jesus Christ is the perfect Lamb of God who takes away the sins of the whole world. The death of Jesus Christ on the cross was sufficient to atone for all the sins of every person who has ever lived and will ever live in the whole world.

We do not need to add anything and we can do nothing to make the sacrifice more perfect. All we need to do is believe in Jesus and repent of our sins. 

JUMAMOSI TAREHE 8 APRILI ASUBUHI                                     

WAEBRANIA 10:1-7

1 Basi torati, kwa kuwa ni kivuli cha mema yatakayokuwa, wala si sura yenyewe ya mambo hayo, kwa dhabihu zile zile wanazozitoa kila mwaka daima, haiwezi wakati wo wote kuwakamilisha wakaribiao. 
2 Kama ndivyo, je! Dhabihu hazingekoma kutolewa; kwa maana waabuduo, wakiisha kusafishwa mara moja, wasingejiona tena kuwa na dhambi? 
3 Lakini katika dhabihu hizo liko kumbukumbu la dhambi kila mwaka. 
4 Maana haiwezekani damu ya mafahali na mbuzi kuondoa dhambi. 
5 Kwa hiyo ajapo ulimwenguni, asema, Dhabihu na toleo hukutaka, Lakini mwili uliniwekea tayari; 
6 Sadaka za kuteketezwa na sadaka za dhambi hukupendezwa nazo; 
7 Ndipo niliposema, Tazama, nimekuja (katika gombo la chuo nimeandikiwa) Niyafanye mapenzi yako, Mungu. 
 

Kifo cha Yesu Kristo msalabani kilitosha kabisa kulipa deni ya dhambi zote ya kila mtu ulimwenguni. Inatosha kwa watu walioishi zamani, na walio hai na watakazaliwa baadaye.

Hatuhitaji, wala hatuwezi, kuongeza kitu chochote ili sadaka ya Yesu iboreshwe.

Wajibu wetu ni kutubu na kuamini tu.