2 Timotheo 1:8-14
21-07-2021
Do not be ashamed of the Gospel. Usiionee aibu Injili. /Heri Buberwa.
HOSEA 2:18-23
20-07-2021
God is good to all the people. Mungu ni mwema kwa watu wote../Heri Buberwa
Jeremiah 31:18-20 (Yeremia)
19-07-2021
God has mercy in store for all who seek him in sincerity. Mungu anayo akiba ya neema kwa wale wote wamtafutao kwa moyo wote. /Pastor J Mlaki
Genesis 13: 1-13 (Mwanzo))
17-07-2021
God is our portion. Mungu ni fungu letu. /Pastor J. Mlaki
WARUMI 12:9-13 (Romans)
15-07-2021
Upendo wa Mkristo uwe wa kweli. Let Christian love be real. /Heri Buberwa.
WIMBO ULIO BORA 8:6-8 (Song of Solomon)
13-07-2021
Upendo wa Yesu Kristo kwetu wanadamu una nguvu kubwa. The love of Jesus Christ for us humans is powerful. /C. Swai, Elder
2 Timothy 3:10-17
08-07-2021
2 Timothy 3:12 In fact, everyone who wants to live a godly life in Christ Jesus will be persecuted, (Kwa hakika wote wapendao kuishi maisha ya utauwa katika Kristo Yesu watateswa)
Marko 16:17
07-07-2021
Mungu atusaidie kuwa na Imani isiyotetereka. May God help us to have unwavering faith. /C. Swai, Elder
1 John 2:14b (1Yohana 2:14b)
06-07-2021
God's word is the source of spiritual strength. Neno la Mungu ni chanzo cha nguvu za kiroho. /Pastor J Mlaki.
Isaiah 40:6-9
05-07-2021
The Word of God is a constant that that we can totally depend on. Neno la Mungu ni tegemeo letu kwani halibadiliki milele. /Pastor J. Mlaki

Pages