Matendo ya Mitume 12:20-24 (ACTS)
19-08-2021
Maisha yasiyompa Mungu utukufu hayana maana. A life that does not glorify God is meaningless. / Heri Buberwa.
2 Wakorintho 11:7-15 (Corinthians)
18-08-2021
Uchaji na utii wa neno la Mungu ndio maisha yanayofaa. Reverence and obedience to God's word are the best way of life. /Heri Buberwa.
Ufunuo wa Yohana 3:1-6 (Revelations)
17-08-2021
Tunakumbushwa kutafakari juu ya unyenyekevu. We are reminded to meditate on humility. /Heri Buberwa
Mithali 11:18-20 (Proverbs)
13-08-2021
Maisha ya uovu hayana hatma njema kwa mwanadamu. Evil lives do not have a good future for mankind. /Heri Buberwa
Mithali 13:21-22 (Proverbs)
12-08-2021
Tukiwa wenye dhambi, tutaishia kuwa waovu na kuangamia. As sinners, we will end up wicked and perish. /Heri Buberwa
Mathayo 11:20-24 (Mathew)
11-08-2021
Yesu anatuita kutubu dhambi zetu, ili tuwe wenye haki ndipo tutaiepuka hukumu. Jesus calls us to repent of our sins, so that we may be righteous and then avoid judgment. /Heri Buberwa.
Luka 20:17-26 (Luke)
10-08-2021
Yesu anatufundisha kutimiza wajibu wetu. Jesus teaches us to fulfill our responsibility. /Heri Buberwa
Ezekieli 3:16-21
09-08-2021
Haki huinua taifa bali dhambi ni aibu ya watu wo wote. Righteousness exalteth a nation: but sin is a shame to any people. /Heri Buberwa.
Mithali 22:22-29 (Proverbs)
07-08-2021
Ishi kwa kutenda mema. Live by doing good. /Heri Buberwa
Mithali 3:5-7
06-08-2021
Mtumaini Bwana kwa Moyo wako wote. /Heri Buberwa

Pages