Tukiwa kama watoto ufalme wa Mungu ni wetu. If we are as children, the kingdom of God is ours. /Heri Buberwa.
Kumbukumbu la Torati 6:20-25 (Deuteronomy)
04-10-2021
Tuwapende na kuwajali watoto. Let's love and care for our children. /Heri Buberwa.
1 Wafalme 12:8-11 (Kings)
02-10-2021
Omba kuongozwa na Bwana kufikia maamuzi sahihi. ask the Lord for guidance to reach the right decisions. /Heri Buberwa
1 Wafalme 12:8-11 (Kings)
02-10-2021
Omba kuongozwa na Bwana kufikia maamuzi sahihi. ask the Lord for guidance to reach the right decisions. /Heri Buberwa
1 Petro 2:1-5 (Peter)
01-10-2021
Tuweke bidii ya kuendelea kuwa hai katika Kristo. Let us work hard to remain alive in Christ. /Heri Buberwa.
2 Timotheo 2:20-23 (2 Timothy)
30-09-2021
Uovu usiwe sehemu ya maisha yetu. Evil should not be part of our lives. /Heri Buberwa.
Mathayo 6:24-25 (Mathew)
29-09-2021
Yesu anatuita kuchagua kumtumikia yeye. Jesus calls us to choose to serve Him. / Heri Buberwa.
Matendo ya Mitume 1:21-26 (Acts)
28-09-2021
Mtangulize Mungu katika maamuzi yako yote. Put God first in all your decisions. /Heri Buberwa.
Kumbukumbu la Torati 30:15-20 (Deutoronomy)
27-09-2021
Uchaguzi wa Busara. [Choosing wisely.] /Heri Buberwa