Isaya 57:16-19 (Isaiah)
24-09-2021
Tubu dhambi zako; Mungu wa huruma anasamehe na kutuponya. Repent of your sins; The God of mercy forgives and heals us. /Heri Buberwa.
Hosea 11:8-11
23-09-2021
Mungu wetu ni mwenye huruma. Our God is a merciful God.
Kutoka 3:7-10
21-09-2021
Tukimlilia Bwana anasikia na yuko tayari kutusaidia. If we cry out to the Lord, He hears and is ready to help us. /Heri Buberwa
Mwanzo 19:15-22 (Genesis)
20-09-2021
Mungu ni mwenye huruma. God is merciful. /Heri Buberwa
Yeremia 11:18-23
18-09-2021
Mungu akiwa nasi, tuko salama. / Heri Buberwa.
Isaya 41:11-13 (Isaiah)
17-09-2021
Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu. God is our refuge and strength. /Heri Buberwa
Yeremia 30:10-11 (Jeremiah)
16-09-2021
Ahadi ya Mungu kwetu ni wokovu kwa kila aaminiye. God's promise to us is salvation for everyone who believes. /Heri Buberwa.
2 Wakorintho 1:3-7 (Corinthians)
15-09-2021
Mioyo yetu   imuelekee yeye Bwana, ili atufariji katika hali zote. May our hearts go to the Lord, that He may comfort us in all circumstances. /Heri Buberwa
2 Wakorintho 1:3-7 (Corinthians)
15-09-2021
Mioyo yetu   imuelekee yeye Bwana, ili atufariji katika hali zote. May our hearts go to the Lord, that He may comfort us in all circumstances. /Heri Buberwa
Marko 1:35-39
14-09-2021
Mungu hujishulisha na mambo yetu. /Heri Buberwa

Pages