Tutaifikia ahadi ya uzima wa milele tukimsikiliza na kumfuata Yesu Kristo. We will reach the promise of eternal life if we listen to Jesus Christ and follow Him. /Heri Buberwa.
2 Timotheo 1:3-7 (Timothy)
26-10-2021
Tuendelee kumwabudu Mungu katika Roho. Let's continue to worship God in spirit. /Heri Buberwa.
Wagalatia 6:8-10 (Galatians)
25-10-2021
Tukaze mwendo katika Yesu Kristo. Let us press on in Jesus Christ. /Heri Buberwa.
Zaburi 18:1-3 (Psalm)
22-10-2021
Tukimtegemea yeye tutashinda na kuuingia katika ufalme wa Mungu. If we trust in Him we will overcome and enter the kingdom of God. /Heri Buberwa.
Wagalatia 6:1-5 (Galatians)
20-10-2021
Wakristo tunapaswa kuchukuliana mizigo. We should help each other as Christians. /Heri Buberwa.
Mathayo 13:31-32 (Matthew)
19-10-2021
Mtazame Yesu Kristo aliye mwokozi wetu. Focus on Jesus Christ, our saviour. /Heri Buberwa.
Mika 6:1-5 (Micah)
18-10-2021
Njia ya ufalme wa Mungu. The way of the Kingdom of God. /Heri Buberwa.