1 Petro 2:18-23 (Peter)
05-08-2021
Uwe mvumilivu hadi mwisho. Persevere till the end. /Heri Buberwa
Luka 12:58-59 (Luke)
04-08-2021
Yesu anatufundisha kuhusu kupatana. Jesus teaches us about reconciliation. /Heri Buberwa.
1 Wathesalonike 5:19-21 (Thessalonians)
03-08-2021
Mtume Paulo anatukumbusha kumcha Bwana, kwa kutenda mema. The apostle Paul reminds us to fear the Lord, by doing good. /Heri Buberwa
Wafilipi 1:27-30 (Philippians)
02-08-2021
Mwenendo wenu uwe na hekima. Be wise in your behavior. /Heri Buberwa.
Maombolezo 3:25-26
30-07-2021
Bwana ni mwema kwa wote wamtafutao. The Lord is good to all who seek him. /Heri Buberwa
HOSEA 3:1-5
29-07-2021
Mungu anatuita tutubu na kumrudia. God calls us to repent and turn to Him. /Heri Buberwa.
Matendo ya Mitume 3:19-23 (ACTS)
28-07-2021
Wema wa Mungu watuvuta tupate kutubu. God's goodness draws us to repentance. /Heri Buberwa
Luka 13:1-5
26-07-2021
Wema wa Mungu watuvuta tupate kutubu. /Heri Buberwa
Warumi 5:17-21 (Romans)
23-07-2021
Tuwe watu wa haki ili neema ya Kristo itawale  hata uzima wa milele. Let us be righteous people so that the grace of Christ may reign for eternal life. / Heri Buberwa
Mwanzo 50:14-21 (Genesis)
22-07-2021
Kama Mkristo, jiufunze kusamehe wengine. As a Christian, learn to forgive others. / Heri Buberwa.

Pages