We should seek to honour what is true and right. Tunapaswa kuheshimu haki na ukweli. /Pastor J Mlaki
Exdous 23:6-9
03-07-2021
We should seek to honour what is true and right. Tunapaswa kuheshimu haki na ukweli. /Pastor J Mlaki
Exodus 23:1-5 (Kutoka)
02-07-2021
Mungu wetu ni Mungu wa Haki. Our God is Just. /Pastor J Mlaki
2 Kings 6:18-25 (Wafalme)
01-07-2021
God is our all-sufficient resource in times of trial. Mungu ndiye anayeweza kututosheleza katika nyakati za shida. /Pastor J Mlaki.
Matthew 12:9-14
30-06-2021
We need Jesus to enable us to follow God’s laws. Tunamhitaji Yesu ili atuwezeshe kuzifuata sheria za Mungu. /Pastor J Mlaki
2Samuel 9:9-13
29-06-2021
As Christians, we should show kindness to others. Wakristo tunapaswa kuwatendea wema watu wengine. /Pastor J. Mlaki.
2 SAMWELI 9:1-8 (Samwel)
28-06-2021
Tunaitwa kutenda haki na Huruma. We are called to be merciful and just. /C Swai, Elder
1WAFALME 6:11-13 (KINGS)
26-06-2021
Katika mahekalu tunayomjengea Mungu tunapaswa kufuata maagizo yake. In the temples we build for God we must follow His instructions. /C. Swai, Elder.
Philippians 2:1-4 (Wafilipi)
25-06-2021
We should have the same humble and selfless attitude as Jesus Christ. Tunahitaji kuwa na tabia ya unyenyekevu na kujitoa kwa wengine kama alivyofanya Yesu Kristo. /Pastor J. Mlaki
Mathew 12:30
23-06-2021
Jesus says, there are no neutral hearts to those who are in Him. Yesu anasema kuwa, hakuna mioyo iliyo vuguvugu kwa wale walio ndani yake. /Pastor J Mlaki.