Mawazo yetu yatuuongoze vyema ili tuweze kuufikia uzima wa milele. /Heri Buberwa
Yeremia 31:14-17
26-11-2021
Ni ahadi ya Mungu kutukomboa na kuturudisha kwake. /Heri Buberwa
Waebrania 12:18-24
24-11-2021
Mungu atakayetupokea uzimani ndie atupae neema ya kumfuata kwa ukamilifu. /Heri Buberwa.
Mathayo 25:14-25 (Matthew)
22-11-2021
Uzima wa Ulimwengu ujao. The life of the world to come. /Heri Buberwa
Kumbukumbu la torati 7:6-11
18-11-2021
Hatuna budi kuwa waaminifu kwa Mungu kwani yeye alitupenda kwanza. /Heri Buberwa.
Mathayo 25:14-30 (Matthew)
17-11-2021
Tunaitwa kutumia vipawa tulivyopewa kwa ajili ya Bwana. We are called to use the talents we have been given for the Lord. /Heri Buberwa
