2Chronicles 7:11-14 ( 2 Nyakati 7:11-14 )
12-05-2021
God is the source of revival and life. Mungu ndiye asili ya uamsho na uhai wetu. /Pastor J Mlaki
1 Samuel 1:11-18
10-05-2021
Depend on God to carry you through your tribulations. Mtegemee Mungu akuvushe katika shida zako. /Pastor J Mlaki.
WAAMUZI 7:15-18 (Judges 7:15-18)
07-05-2021
Tunaweza kushinda vikwazo vyetu maishani ikiwa tutamwalika Mungu atuongoze. We can overcome our hurdles in life if we invite God to lead us. /C. Swai (Elder)
Luke 2:12-14
05-05-2021
The coming of Jesus Christ was a message of good news. Ujio wa Yesu Kristo ulikuwa ujumbe wa habari njema. /Pastor J Mlaki.
Jeremiah 20:13
04-05-2021
Sing and give praise to the Lord. Imba na umhimidi Bwana. /Pastor J. Mlaki.
Isaiah 42:10-13
03-05-2021
Sing a Praise to the Lord. Mwimbie Mungu wimbo wa sifa.../ C. Swai (Elder)
Marko 9:45-50
01-05-2021
Mungu anatuita tuondoe kile kinachosababisha sisi kujikwaa katika kumfuata Yeye. God calls us to remove that which causes us to stumble in following Him.../Elder C Swai
2 Corinthians 4:7-15
29-04-2021
God uses our weakness to his Glory. Mungu anatumia udhaifu wetu kwa utukufu wake. /Pastor J Mlaki
Romans 10:8-13 (Warumi 10:8-13)
27-04-2021
Everyone who calls on the name of the Lord will be saved. Kila atakayeliitia jina la Bwana ataokolewa. /Pastor J. Mlaki
Mathayo 18:10-14
24-04-2021
Yesu Kristo alikuja kwa ajili ya wenye dhambi. Jesus Christ came for sinners. /Heri Buberwa

Pages