Ephesians 5:29-33 (Waefeso 5:29-33)
18-01-2018
Christ's relationship to the Church is likened to that of marriage between husband and wife. Uhusiano wa Yesu na kanisa unafananishwa na ndoa kati ya mume na mke.
Luke 4:24-30 (Luka 4:24-30)
17-01-2018
God help us to have true faith in God and not be blinded by our prejudices. ..Mungu atusaidie kumwamini Yesu Kristo kama Bwana na Mwozoki wetu. {By Pastor P. Chuwa}
Genesis 46:28-34 (Mwanzo 46:28-34)
16-01-2018
God blesses our homes. Mungu anabariki familia zetu { By Pastor P. Chuwa}
Psalm 97:1-7, Colossians 1:19-20, John 8:12
06-01-2018
Today is Epiphany when we remember the Wise Man who followed the star and came to the place where Jesus was born. Leo ni siku ya Epifania au funuo. Tunakumbuka jinsi Mamajusi walifuata nyota na walifika kumshujudia Yesu Kristo. {By Pastor P. Chuwa}
Deuteronomy 6:20-25 (KUMBUKUMBU LA TORATI   6:20-25)
05-01-2018
It is good to remember history and to see how God has worked in the lives of our ancestors and how He has worked in our own lives. ...Ni muhimu kutunza historia ya kanisa na familia, na hasa kukumbuka matendo makuu ya Mungu katika maisha yetu. {By Pastor P. Chuwa}
Lamentations 3:22-24 (Maombolezo 3:22-24)
04-01-2018
Let us come to God in prayer every morning. It is good to start the day in prayer. Ni vema kuanza kila siku kwa maombi. {By Pastor P Chuwa}
John 14:13-14 ( Yohana 14:13-14)
03-01-2018
Start everything in Jesus' name. Anza kila kitu kwa jina la Yesu. {By Pr P. Chuwa}
Zechariah 2:9-10 NIV ( Zekaria 2:9-10)
15-12-2017
The Birth of Jesus Christ was in Gods plan since the begining...Kuzaliwa kwa Yesu Kristo ulikuwa mpango wa Mungu tangu mwanzo. {By Elder C Swai}
Jeremiah 31:37-40 NIV (Yeremia 31:37-40)
14-12-2017
The Lord will restore his Glory..Mungu ataurejesha utukufu wake.
Mithali 8: 22 - 31 (Proverbs 8:22-31)
12-12-2017
Tutafute kumfahamu Yesu na kufuata njia zake, ili tuweze kuwa naye hata baada ya ulimwengu huu kupita. Put your trust in Jesus, learn and follow his ways, so you can be with him after this life has passed.

Pages