Ephesians 4:23 (Waefeso 4:23)
11-06-2018
Renewed in the spirit.. Kuhuishwa kiroho {Elder S Jengo}
Mark 8:35
09-06-2018
Christians, It's our duty to spread the Gospel..Wakristo ni jukumu letu kueneza injili. {Elder S Jengo}
John 3:30 ..Continued ( Yohana 3:30..inaendelea)
08-06-2018
How do we weigh our relation with Christ?...Tunapimaje uhusiano wetu na Yesu?
John 3:30 (Yohana 3:30)
07-06-2018
“He must become greater, I must become less” “Yeye hana budi kuzidi, bali mimi kupungua” {Elder S Jengo}
Matthew 5:27-32 (Matayo 5:27-32)
06-06-2018
Guard your heart against evil thoughts...Chunga moyo wako na mawazo mabaya. {Elder C. Swai}
John 12:39-43 (Yohana 12:39-43)
05-06-2018
Stand up for Jesus in your society..Mtetee Yesu katika jamii yako. {Elder C. Swai}
Jeremiah 26:1-6 (Yeremia 26:1-6)
04-06-2018
If we repent our sins and return to God, he will forgive and favour us...Ikiwa tutatubu dhambi zetu na kurudi kwa Mungu, atatusamehe na kutuhurumia...{Elder C Swai}
2 Corinthians 13:14 (2 Wakorintho 13:14 )
02-06-2018
God Loves us all the time. Mungu anatupenda kila wakati. {Elder C. Swai}
John 15:1-8 (Yohana 15:1-8}
01-06-2018
We cannot do the Lord's work without having Christ in us..Hatuwezi kufanya kazi ya Bwana bila kuwa na Kristo ndani yetu. {Elder C Swai}
1 John 4:1-3 (1 Yohana 4:1-3)
31-05-2018
Read the Bible and pray for the Holy Spirit to reveal God's word so you are not miss-led by false teachings. Soma Biblia na umwombe Roho Mtakatifu akufunulie ujumbe wa Mungu ili usipotoshwe na mafundisho ya uongo. {Elder C. Swai}

Pages