Isaiah 55:6-11 NIV (Isaya 55:6-11)
09-02-2018
God’s Word is powerful and effective. Neno la Mungu lina nguvu na uwezo. {By Pastor Chuwa}
Isaiah 40:6-8 NIV (Isaya 40:6-8)
08-02-2018
God’s Word is eternal.. Neno la Mungu ni la milele. {By Pastor P. Chuwa}
Colossians 3:16-17 (Wakolosai 3:16-17)
07-02-2018
God’s Word in the Bible is our guide for life. Neno la Mungu ndani ya Biblia linatuongoza maishani. {By Pastor P. Chuwa}
Colossians 3:16-17 NIV (Wakolosai 3:16-17)
06-02-2018
We need to read and meditate upon God’s Word daily. Tunahitaji kusoma na kutafakari Neno la Mungu kila siku. {By Pastor P Chuwa}
Romans 11:1-6 NIV (Warumi 11:1-6)
02-02-2018
Pray for Jewish people to understand that Jesus Christ is the son of God who came to earth to save us...Tuwaombee Wayahudi waelewe kwamba Yesu ni Mesihi na ni mwana wa Mungu na ni mmoja na Mungu wao Yahweh. {By Pastor P Chuwa}
Jeremiah 9:23-24 NIV (Yeremia 9:23-24)
01-02-2018
God loves the humble...Mungu anapenda watu wanyenyekevu. {By Pastor P Chuwa}
Romans 3:27-31 NIV (Warumi 3:27-31}
31-01-2018
We are saved by Grace not by works. Tunaokolewa kwa Neema siyo kwa matendo. {By Pastor P Chuwa}
Acts 8:18-24 NIV ( Matendo 8:18-24)
30-01-2018
By the Grace of God we receive the gift of the Holy Spirit and many spiritual blessings...Tunaokolewa kwa neema na tunapewa Roho Mtakatifu na baraka nyingi kwa neema. {By Pastor P Chuwa)
Psalm 18:1-6, Romans 3:27-31, Luke 17:7-10 NIV (Zaburi 18:1-6; Warumi 3:27-31; Luka 17:7-10)
28-01-2018
We are saved by Grace. Tunaokolewa kwa neema. {By Pastor P. Chuwa}
John 7:14-24 NIV (Yohana 7:14-24)
27-01-2018
May God help us to hear and understand and believe the truth and to live it out in our lives.    Mungu atusaidie kusikiliza kwa maskio ya kawaida na ya kiroho. Tukiamini ukweli kuhusu Yesu na kuzingatia katika maisha yetu. {By Pastor P. Chuwa}

Pages