Hebrews 5:1-10 (Waebrania 5:1-10)
15-03-2019
When in position of power, let us be humble. Katika nafasi ya kuwa na madaraka, tuwe wanyenyekevu. {C Swai, Elder}
Romans 10:8-13 (Warumi 10:8-13)
14-03-2019
Jesus came to save all the peoples of the world. Yesu alikuja kuokoa watu wote wa ulimwengu. {C Swai, Elder)
Mark 1:12-13
13-03-2019
With the power of the Word of God, we can overcome temptation. Kwa nguvu ya Neno la Mungu, tutashinda majaribu. {C Swai, Elder}
Psalm 40:13-17 (Zaburi 40:13-17)
12-03-2019
You are my help and my deliverer; you are my God, do not delay. Ndiwe msaada wangu na mwokozi wangu, Ee Mungu wangu, usikawie.
1 Peter 3:13-17
11-03-2019
Be ready to suffer for doing good. Kuwa tayari kuteseka kwa kutenda mema. {C. Swai, Elder}
Mathew 9:9-17
08-03-2019
Jesus calls you as you are. Yesu anakuita jinsi ulivyo. {Elder C Swai}
Hebrews 4:6-10 (Waebrania 4:6-10)
07-03-2019
Today, if you hear his voice, do not harden your hearts. Leo, kama mtasikia sauti yake, msifanye mioyo yenu kuwa migumu. {Elder C Swai)
Mathew 9:7-17
06-03-2019
Jesus came to save us from our sins. Yesu alikuja kutukomboa kutoka katika dhambi. {Elder C. Swai}
Galatians 2:18-21
05-03-2019
We are saved by the Grace of God. Tunaokolewa kwa neema ya Mungu. {Elder C. Swai}
Matthew 13:1-9 (Mathayo 13:1-9)
27-02-2019
How much Good seed has been sown in your life? Has it grown to produce good fruits? Je, mbegu ngapi nzuri zimepandwa katika maisha yako? Je! zimekua na kuzaa matunda mema? {Pastor P Chuwa}

Pages