We should not be afraid of witchcraft but refuse all evil powers in the name of Jesus Christ. Tusiogope uchawi. Mungu ananguvu zaidi kuliko shetani na wachawi na nguvu zote za giza. Tumawamini na tumtegemee Yesu Kristo tu. {Pastor P Chuwa}
Judges 10:11-16 (Waamuzi 10:11-16)
22-02-2019
Let us not be rebellious but be ready to repent our sins and obey God. Tusiwe waasi bali tuwe tarari kutubu dhambi zetu na kumtii Mungu. {Pastor P. Chuwa}
Exodus 19:3-8 (Kutoka 19:3-8)
21-02-2019
As Christians we are also God’s special to God. Jesus died to save us from our sins. Wakristo pia ni wamechaguliwa na Mungu. Yesu alikufa ili atuokoe na dhambi zetu. {Pastor P. Chuwa}
EPHESIANS 5:3-6 (Waefeso 5:3-6)
25-01-2019
Let us not play with sin but rather strive to be Holy like Jesus Christ. Tunapaswa kuchukia dhambi na kutafuta kuwa watakatifu kama Yesu Kristo. {Pastor P. Chuwa}
Ecclesiastes 12:13-14 (Mhubiri 12:13-14)
18-01-2019
Follow God’s commandments and live to please Him. Fuata amri za Mungu na uishi kwa kumpendeza yeye. { Pastor P. Chuwa}
Romans 14:8-9
17-01-2019
As Christians, our main purpose is to live for Christ. Kama Wakristo, lengo letu kuu ni kuishi kwa ajili ya Kristo. {Pastor P. Chuwa}
Acts 8:9-13 (Matendo 8:9-13)
16-01-2019
Keep on building spiritually on your baptism, your Spiritual foundation. Endelea kujenga juu ubatizo wako, ya msingi wako wa kiroho. {Pastor P. Chuwa}
Matthew 3:13-17 (Matayo 3:13-17)
14-01-2019
God received you as His child when you were baptized. Mungu alikupokea kama mtoto wake ulipobatizwa. {Pastor P. Chuwa}
Ezra 10:4
11-01-2019
Seek God's purpose in you. Tafuta kujua kusudi la Mungu na maisha yako. {Pastor P Chuwa}