Proverbs 1:7-9 (Methali 1:7-9)
01-10-2018
Children are encouraged to listen to their parents and to follow their advice.Watoto wanashauriwa kuwasikiliza na kutii wazazi wao. {Pastor P. Chuwa}
Psalm 103:8-13, 2 John 1:4-5, Matthew 18:1-10
30-09-2018
Jesu loves Children. Yesu apenda watoto. {Pastor P. chuwa}
Galatians 3:1-6
29-09-2018
We cannot be saved by following laws.Hatuwezi kuokolewa kwa kufuata sheria. {Pastor P. Chuwa}
Acts 1:21-26 (Matendo 1:21-26)
28-09-2018
Ask God's guidance before making major desicios. Omba msaada wa mungu kabla ya kufanya maamuzi ya muhimu. {Pastor P. Chuwa}
Proverbs 22:1-4 (Mithali 22:1-4)
27-09-2018
There is greatness in humbleness. Kuna kuinuliwa ukiwa mnyenyekevu. {Pastor P. Chuwa}
Matthew 6:24-25
26-09-2018
Seek God first and all alse will be give unto you...Tafuta ufalme wa Mungu kwanza na mengine yote utapewa. {Pastor P Chuwa}
1 Samuel 16:11-16
25-09-2018
Pray that God help's you to choose wisely. Omba Mungu akujaidie kuchagua vizuri. {Pastor P. Chuwa}
1 SAMUEL 8:1-10
24-09-2018
Stand for what is right and not just to desire to go with the crowd... Tusimamie haki na sio kufuata mkumbo. {Pastor P Chuwa}
1 Corinthians 1:26-31 (1 Korintho1:26-31)
21-09-2018
All the Glory is to God in high heaven. Utukufu wote ni wa kwake Mungu aliye juu Mbinguni. {Elder C. Swai}
1 Timothy 4:1-5
20-09-2018
Beware of false teachings. Jihadhari na mafundisho potofu. {Pastor P. Chuwa}

Pages