Isaiah 23:1-8
22-11-2018
God is merciful to all who come to Him in true humility and repentance...Mungu anawasamehe wote wanaotubu kwa unyenyekevu. {Pastor P Chuwa}
Jude 1:5-13
21-11-2018
When Jesus comes back, there will be Judgement of our sins. Yesu atakaporudi atatuhukumu kwa dhambi zetu. {Pastor P Chuwa}
2 Peter 2:1-4
19-11-2018
Beware of false teachings. Tujihadhari na mafundisho potofu. {Pastor P Chuwa}
Job 14:1-5 (Ayubu 14:1-5)
15-11-2018
Your life is in God's hands.....Maisha yako yako mikononi mwa Mungu. {Pastor P. Chuwa}
Mark 13:14-23 (Marko 13:14-23}
13-11-2018
Be prepared for the second coming of Jesus. Jiandae kwa kuja kwa Yesu mara ya pili. {Pastor P Chuwa}
Isaiah 26:4-6 (Isaya 26:4-6)
12-11-2018
Trust in God...Mtumainie Mungu. {Pastor P Chuwa}
Matthew 5:4-7
09-11-2018
Let us show compassion and mercy to others. Tuwe na huruma na upole kwa wengine. {Pastor P Chuwa}
Isaiah 57:1-2
08-11-2018
God knows what is in your heart. Mungu anajua yaliyomo moyoni mwako. {Pastor P Chuwa}
Hebrews 12:1-3 (Waebrania 12:1-3)
07-11-2018
Let us run with perseverance the race marked out for us. Tupige mbio kwa saburi katika yale mashindano yaliyowekwa mbele yetu. {C.Swai, Elder}
Revelation 4:1-6 (Ufunuo 4:1-6)
06-11-2018
Make sure that you have trust in Jesus...Hakikisha unamwamini Yesu. {Pastor P Chuwa}

Pages