Exodus 29:43-46 (Kutoka 29:43-46)
26-04-2019
God is very close to us .Let us worship and obey Him always. Mungu yuko karibu kabisa na sisi. Tumwabudu na tumfuate siku zote. {Pastor P Chuwa}
1 Corinthians 5:6-8 (1Korintho 5:6-8)
25-04-2019
Let us rid our lives of all that is not pleasing to God. Tuache mambo yote ambayo hayampendezi Mungu. {Pastor P Chuwa}
1 Corinthians 15:54-58 (1Korintho 15:54-58)
23-04-2019
Always give yourselves fully to the work of the Lord. Mkazidi sana kutenda kazi ya Bwana sikuzote.
Psalm 145:10-21, Luke 24:44-49, Colossians 3:1-4
22-04-2019
Walk with the risen Christ in your life. Tembea na Yesu Kristo aliyefufuka katika maisha yako.
Hebrews 10:8-17 (Waebrania 10:8-17)
20-04-2019
Jesus died so that our sins can be forgiven and we can be friends with God. Yesu alikufa ili tupate kusamehewa dhambi zetu na kupatanishwa na Mungu. {Pastor P Chuwa}
Psalm 88:1-8, Hebrews 10:8-17, Matthew 27:32-50
19-04-2019
Jesus died on the cross to save us from our sins. Yesu alikufa msalabani kutuokoa na dhambi zetu. {Pastor P Chuwa}
Psalm 116:1-9, 1 Corinthians 10:16-17, John 6:48-51
18-04-2019
Today we celebrate the beginning of the Holy Communion. Leo tunaadhimisha kuanza kwa Sakramenti Takatifu. {Pastor P. Chuwa}
Matthew 21:1-11
17-04-2019
Let us thank God for Jesus Christ our Lord and Saviour. Tumshukuru Mungu kumtuma Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wetu. {Pastor P Chuwa}
1 Peter 4:1-4
16-04-2019
Let us cast away all that is impure and sinful in our lives. Tuondokane na mambo yote yasiyo safi na tamaa za dhambi maishani. {Pastor P Chuwa}
John 2:23-25 (Yohana 2:23-25)
15-04-2019
Believe in Jesus as Master and saviour your life. Mwamini Yesu kama Bwana na Mwokozi wako. {Pastor P Chuwa}

Pages