John 11:17-26 (Yohana 11:17-26)
29-11-2018
Jesus said "and whoever lives by believing in me will never die. Do you believe this?” Yesu alisema "Naye kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je! Unayasadiki hayo? {Pastor P Chuwa}
Hebrews 11:13-16 (Waebrania 11:13-16)
26-11-2018
May God increase your faith. Omba Mungu aongeze imani yako. {Pastor P. Chuwa}
Amos 2:1-5
24-11-2018
Be faithful in your life. Uwe mwaminifu katika maisha yako. (Pastor P. Chuwa)
Isaiah 23:1-8
23-11-2018
Be careful not to forget your God when you prosper. Jihadhari usimsahau Mungu wako unapofanikiwa. {C Swai, Elder}
Isaiah 23:1-8
22-11-2018
God is merciful to all who come to Him in true humility and repentance...Mungu anawasamehe wote wanaotubu kwa unyenyekevu. {Pastor P Chuwa}
Jude 1:5-13
21-11-2018
When Jesus comes back, there will be Judgement of our sins. Yesu atakaporudi atatuhukumu kwa dhambi zetu. {Pastor P Chuwa}
2 Peter 2:1-4
19-11-2018
Beware of false teachings. Tujihadhari na mafundisho potofu. {Pastor P Chuwa}
Job 14:1-5 (Ayubu 14:1-5)
15-11-2018
Your life is in God's hands.....Maisha yako yako mikononi mwa Mungu. {Pastor P. Chuwa}
Mark 13:14-23 (Marko 13:14-23}
13-11-2018
Be prepared for the second coming of Jesus. Jiandae kwa kuja kwa Yesu mara ya pili. {Pastor P Chuwa}
Isaiah 26:4-6 (Isaya 26:4-6)
12-11-2018
Trust in God...Mtumainie Mungu. {Pastor P Chuwa}

Pages