Prophet Zechariah not only condemns open wrongs, but also the hidden purposes of evil. Nabii Zakaria hakemei tu yale maovu yanayoonekana kwa macho, bali pia makusudio ya uovu yaliyofichika mioyoni mwa wanadamu. {Joseph Mlaki, Theologian}
1 Peter 3:10-12 (1 Petro 3:10-12)
11-09-2019
Turn away from evil and do good. Tuache maovu na kutenda mema.
1 Samuel 7:5-11
03-09-2019
If you repent your sins, God will forgive you. Ukitubu dhambi zako, Mungu atakusamehe. {Pastor P Chuwa}
1 Kings 21:27-29 (1 Wafalme 21:27-29)
02-09-2019
Let us be humble and repent our sins. Tuwe tayari kujishusha na kutubu dhambi zetu. {Pastor P. Chuwa}
Jeremiah 18:13-17
30-08-2019
Let God be the priority in your life. Mpe Mungu kipaombele katika maisha yako. {Pastor P Chuwa}
Hosea 4:1-6
29-08-2019
Are we listening to God and seeking his word? Je, tunamsikiliza Mungu na kulifuata Neno lake? Pastor P. Chuwa}
Revelations 22:10-15 (Ufunuo 22:10-15)
28-08-2019
Jesus will come back to earth in glory to judge the living and the dead. Yesu atarudi katika utukufu kuhukumu walio hai na waliokufa. {Pastor P Chuwa}
Proverbs 11:23-31 (Methali 11:23-31)
27-08-2019
We should not trust in our money but trust in God. Tusiweke imani katika fedha zetu, ila tumwamini Mungu. {Pastor P. Chuwa}