1 SAMUEL 8:1-10
24-09-2018
Stand for what is right and not just to desire to go with the crowd... Tusimamie haki na sio kufuata mkumbo. {Pastor P Chuwa}
1 Corinthians 1:26-31 (1 Korintho1:26-31)
21-09-2018
All the Glory is to God in high heaven. Utukufu wote ni wa kwake Mungu aliye juu Mbinguni. {Elder C. Swai}
1 Timothy 4:1-5
20-09-2018
Beware of false teachings. Jihadhari na mafundisho potofu. {Pastor P. Chuwa}
John 6:66-71 (Yohana 6:66-71)
19-09-2018
Through trials and tribulations, Jesus is by your side. Katika shida na matatizo, Yesu yuko pamoja nawe. {Elder C. Swai}
1 Corinthians 10:29-33 ( 1 Korinthians 10:29-33)
18-09-2018
We should help others come to Christ. Tuwe msaada kwa wengine kuja kwa Yesu. {Elder C. Swai}
Colossians 2:16-23 (Wakolosai 2:16-23)
17-09-2018
Freedom of a Christian. Uhuru wa Mkristo. {Pastor P Chuwa}
Isaiah 41:8-10 (Isaya 41:8-10)
11-09-2018
God protects his people. Mungu analinda watu wake. {Elder C. Swai}
Proverbs 3:27-30 (Methali 3:27-30)
31-08-2018
Treat your neighbour according to the work of God. Mfanyie jirani yako kama neno la Mungu linavyoelekeza. {Pastor P. Chuwa}
Proverbs 10:31-32 (Mithali 10:31-32)
25-08-2018
Choose your words carefully. Chagua maneno yako vizuri. {Pastor P. Chuwa}
Proverbs 10:20-21  (Methali 10:20-21)
23-08-2018
Our words should bless other people. Maneno yetu yabariki wengine. {Pastor P. Chuwa}

Pages