Teach your Children well today. Wafunze vyema watoto wako leo. {Joseph Mlaki, Theologian}
Luke 18:15-17
03-10-2019
Blessed is the one who comes to Christ like a little Child. Amebarikiwa ajaye kwa Yesu kama mtoto mdogo. { Joseph Mlaki, Theologian}
Exodus 2:1-10 (Kutoka 2:1-10)
30-09-2019
God has a good plan and purpose for you. Mungu ana mpango na kusudi jema kwa ajili yako. {Joseph Mlaki, Theologian}
Matthew 17:24-27
27-09-2019
Jesus paid the penalty for our sins. Yesu alibeba adhabu ya dhambi zetu. {Joseph Mlaki, Theologian}
2 Chronicles 7:1-10 (2 Nyakati 7:1-10)
26-09-2019
God requires true worship. Mungu anataka ibada ya kweli. {Joseph Mlaki, Theologian}
Luke 2:22-24
25-09-2019
Make God part of your daily life. Mungu awe sehemu ya maisha yako kila siku. {Joseph Mlay, Theologian}
2 Corithians 8:12-15
24-09-2019
We can never repay God. We can just serve Him and love Him in return. Kamwe hatuwezi kumlipa Mungu. Tunachoweza kufanya ni kumtumikia na kumpenda. {Joseph Mlaki, Theologian}
Exodus 36:2-7
23-09-2019
God requires us to give ourselves to Him before we give what we have. Mungu anahitaji tujitoe miili na roho zetu kwake, kabla ya kumtolea mali zetu. {Joseph Mlaki, Theologian}
Jeremiah 22:13-14
21-09-2019
Use the power of your position justly. Tumia mamlaka uliyonayo kutenda haki. {Joseph Mlaki, Theologian}
Psalm 15:1-5 (Zaburi 15:1-5)
20-09-2019
God also expects to be praised by the life we live outside the church building. Mungu anataka maisha yetu nje ya nyumba ya ibada yamtukuze yeye. {Joseph Mlaki, Theologian}