MONDAY 9TH OCTOBER 2017
Acts 15:19-22 New International Version (NIV)
Christian freedom comes by trusting and relying on Jesus Christ.
19 “It is my judgment, therefore, that we should not make it difficult for the Gentiles who are turning to God. 20 Instead we should write to them, telling them to abstain from food polluted by idols, from sexual immorality, from the meat of strangled animals and from blood. 21 For the law of Moses has been preached in every city from the earliest times and is read in the synagogues on every Sabbath.” 22 Then the apostles and elders, with the whole church, decided to choose some of their own men and send them to Antioch with Paul and Barnabas. They chose Judas (called Barsabbas) and Silas, men who were leaders among the believers.
MESSAGE
By exercising faith in Jesus Christ with a sincere heart, it is clear that we will not be unclean, or idolaters. By continuing to rely on Christ alone, we will live a life of freedom because Jesus has set us free. We are to trust in God alone and He will make us free indeed.
JUMATATU TAREHE 9 OKTOBA 2017 ASUBUHI
Uhuru wa Mkrito hutokana na kumwamini na kutegemea Yesu Kristo.
19 Kwa sababu hiyo mimi naamua hivi; Tusiwataabishe wale waliomgeukia Mungu katika Mataifa; 20 bali tuwaandikie kwamba wajiepushe na unajisi wa sanamu, na uasherati, na nyama zilizosongolewa, na damu. 21 Kwa maana tangu zamani za kale Musa anao watu wahubirio mambo yake; katika kila mji husomwa kila sabato katika masinagogi. 22 Basi ikawapendeza mitume na wazee na kanisa lote kuwachagua watu miongoni mwao na kuwapeleka Antiokia pamoja na Paulo na Barnaba; nao ni hawa, Yuda aliyeitwa Barsaba, na Sila, waliokuwa watu wakuu katika ndugu. Wakaandika hivi na kupeleka kwa mikono yao..,
UJUMBE
Tukimwamini Yesu Kristo kwa moyo wa dhati, ni wazi kwamba hatutakuwa wanajisi, au waabudu sanamu. Kwa kuendelea kumtegema Kristo peke yake maana yake tutazidi kuishi maisha ya uhuru kwa sababu ya Yesu kutuweka huru. Tumtegemee Mungu peke yake naye atatufanya tuwe na atatuweka huru kweli kweli.