Date: 
05-07-2018
Reading: 
1 Samuel 18:10-16

THURSDAY 5TH JULY 2018 MORNING                                       

1 Samuel 18:10-16 New International Version (NIV)

10 The next day an evil[a] spirit from God came forcefully on Saul. He was prophesying in his house, while David was playing the lyre, as he usually did. Saul had a spear in his hand 11 and he hurled it, saying to himself,“I’ll pin David to the wall.” But David eluded him twice.

12 Saul was afraid of David, because the Lord was with David but had departed from Saul. 13 So he sent David away from him and gave him command over a thousand men, and David led the troops in their campaigns. 14 In everything he did he had great success, because the Lord was with him. 15 When Saul saw how successful he was, he was afraid of him. 16 But all Israel and Judah loved David, because he led them in their campaigns.

Footnotes:

David was a young man. God had chosen him to be the next king of Israel. But Saul was still on the throne. King Saul was jealous of David. He saw that God was blessing David and making him successful and that David was loved by the people.  But David had no desire to harm Saul. David respected Saul as the king, anointed by God.

You may be in a very challenging situation. People may be acusing you falsely and trying to harm you or to make your plans fail. Turn to God and ask Him to fight for you and protect you.

ALHAMISI TAREHE 5 JULAI 2018 ASUBUHI                             

1 SAMWELI 18:10-16

 

10 Ikawa siku ya pili yake, roho mbaya kutoka kwa Mungu ikamjilia Sauli kwa nguvu, naye akatabiri ndani ya nyumba. Basi Daudi alikuwa akipiga kinubi kwa mkono wake kama siku zote; naye Sauli alikuwa na mkuki mkononi mwake. 
11 Mara Sauli akautupa ule mkuki; maana alisema, Nitampiga Daudi hata ukutani. Daudi akaepa, akatoka mbele yake, mara mbili. 
12 Sauli akamwogopa Daudi, kwa sababu Bwana alikuwa pamoja naye, ila amemwacha Sauli. 
13 Kwa ajili ya hayo Sauli akamwondosha kwake, akamfanya awe akida wake juu ya askari elfu; naye akatoka na kuingia mbele ya watu. 
14 Naye Daudi akatenda kwa busara katika njia zake zote naye Bwana alikuwa pamoja naye. 
15 Sauli alipoona ya kwamba alitenda kwa busara sana, yeye alimwogopa. 
16 Lakini Israeli wote na Yuda wakampenda Daudi; kwa kuwa alitoka na kuingia mbele yao. 

Daudi alikuwa kijana. Mungu alimchagua arithi nafasi ya  Mfalme baada ya Mfalme Sauli. Sauli alichukia Daudi kwa sababu aliona watu walimpenda Daudi na Mungu alimpa Daudi mafanyikio. Lakini Daudi hakuwa na nia mbaya kuhusu Sauli.

Labda wewe unapita kwenye changamot. Labda una maadui ambao wanajaribu kukuangusha. Mtegemea Mungu atakutetea na kulinda.