Date: 
09-07-2018
Reading: 
1 John 3:17-18

MONDAY 9TH JULY 2018  MORNING                                                     

1 John 3:17-18 New International Version (NIV)

17 If anyone has material possessions and sees a brother or sister in need but has no pity on them, how can the love of God be in that person? 18 Dear children, let us not love with words or speech but with actions and in truth.

This week we are thinking about love. God’s love for us and how we should respond by loving God and loving other people. May God help us to truly love others and to show this by our words and actions. Ask God to show you who needs your help and what you can do for them.

JUMATATU TAREHE 9 JULAI 2018 ASUBUHI                                  

1 YOHANA 3:17-18

17 Lakini mtu akiwa na riziki ya dunia, kisha akamwona ndugu yake ni mhitaji, akamzuilia huruma zake, je! Upendo wa Mungu wakaaje ndani yake huyo? 
18 Watoto wadogo, tusipende kwa neno, wala kwa ulimi, bali kwa tendo na kweli. 

Wiki hii tunatafakari kuhusu Upendo. Mungu anatupenda sana na sisi tunapaswa kumpenda Mungu na kupenda binadamu wenzetu. Mungu atusaidie kupenda kweli si kwa maneno tu bali kwa matendo. Omba Mungu akuonyesha umsaidie nani.