Date: 
05-05-2021
Reading: 
Luke 2:12-14

WEDNESDAY 5TH MAY 2021 MORNING                                       

Luke 2:12-14 New International Version (NIV)

 12 This will be a sign to you: You will find a baby wrapped in cloths and lying in a manger.”

13 Suddenly a great company of the heavenly host appeared with the angel, praising God and saying,

14 “Glory to God in the highest heaven,
    and on earth peace to those on whom his favor rests.”

The angels are giving a reason for the world to sing praises to God. The message of birth of savior Jesus Christ was the message of good news, and it is a message about God rescuing his people. It is a message about peace. 


JUMATANO TAREHE 5 MEI 2021,  ASUBUHI                           

LUKA 2:12-14

12 Na hii ndiyo ishara kwenu; mtamkuta mtoto mchanga amevikwa nguo za kitoto, amelala katika hori ya kulia ng'ombe.
13 Mara walikuwapo pamoja na huyo malaika, wingi wa jeshi la mbinguni, wakimsifu Mungu, na kusema,
14 Atukuzwe Mungu juu mbinguni, Na duniani iwe amani kwa watu aliowaridhia.

Malaika wanatupa sababu za ulimwengu kumwimbia Mungu sifa. Taarifa za kuzaliwa kwa mwokozi Yesu Kristo zilikuwa ni habari njema na ujumbe wa Mungu kuwaokoa watu wake. Huu ni ujumbe wa amani.