Date: 
09-04-2019
Reading: 
Leviticus 16:29-34 (Walawi 16:29-34)

TUESDAY 9TH APRIL 2019 MORNING                                  

Leviticus 16:29-34 New International Version (NIV)

29 “This is to be a lasting ordinance for you: On the tenth day of the seventh month you must deny yourselves[a] and not do any work—whether native-born or a foreigner residing among you— 30 because on this day atonement will be made for you, to cleanse you. Then, before the Lord, you will be clean from all your sins. 31 It is a day of sabbath rest, and you must deny yourselves; it is a lasting ordinance. 32 The priest who is anointed and ordained to succeed his father as high priest is to make atonement. He is to put on the sacred linen garments 33 and make atonement for the Most Holy Place, for the tent of meeting and the altar, and for the priests and all the members of the community.

34 “This is to be a lasting ordinance for you: Atonement is to be made once a year for all the sins of the Israelites.”And it was done, as the Lord commanded Moses.

Footnotes:                                                           

  1. Leviticus 16:29 Or must fast; also in verse 31

We have read about the Jewish Day of Atonement. It is still commemorated by Jewish people today. It is a day of fasting and repentance asking God for forgiveness.

This day shows the seriousness of sin and points to the sacrificial death of Jesus Christ on the cross in atonement for our sins.

Thank God for His wonderful plan of salvation. Don’t neglect the wonderful opportunity to be reconciled with God.

JUMANNE TAREHE 9 APRILI 2019 ASUBUHI                              

LAWI  16: 29-34

29 Amri hii itakuwa amri ya milele kwenu; katika mwezi wa saba, siku ya kumi ya mwezi, mtajitaabisha roho zenu, msifanye kazi ya namna yo yote, mzalia na mgeni akaaye kati yenu. 
30 Kwa maana siku hiyo upatanisho utafanywa kwa ajili yenu, ili kuwatakasa; nanyi mtatakaswa na dhambi zenu zote mbele za Bwana. 
31 Ni Sabato ya raha ya makini kwenu nanyi mtajitaabisha roho zenu; ni amri ya milele. 
32 Na kuhani atakayetiwa mafuta na kuwekwa wakfu badala ya baba yake, ataufanya huo upatanisho, naye atayavaa mavazi ya kitani, yaani, yale mavazi matakatifu. 
33 Naye atafanya upatanisho kwa ajili ya patakatifu, naye atafanya upatanisho kwa ajili ya hema ya kukutania, na kwa ajili ya madhabahu; naye atafanya upatanisho kwa ajili ya makuhani, na kwa ajili ya watu wote wa kusanyiko. 
34 Na amri hii itakuwa amri ya milele kwenu, ili kufanya upatanisho kwa ajili ya wana wa Israeli kwa sababu ya dhambi zao zote, mara moja kila mwaka. Naye akafanya vile vile kama Bwana alivyomwamuru Musa.

Maneno hapo juu yanatueleza kuhusu siku muhimu sana kwa Wayahudi, Siku ya Upatanisho.

Siku ya kuomba msamaha na utakaso. Wayahudi mpaka leo wankumbuka siku hii. Siku hili ilikuwa maandalizi kwa ajili ya Kifo cha Yesu msalabani. Upatanishi wa kweli unapatikana katika Yesu Kristo.

Usikose nafasi ya kusamehewa na kupatanishwa na Mungu. Mshukuru Mungu kwa mpango wake mzuri wa kukokoa.