Ephesians 1:11-14 (NIV)
11-02-2017
We have been given the gift of the Holy Spirit to live within us and guide us. What a privilege...Tumepewa Roho Mtakatifu kuishi ndani yetu na kutuongoza katika maisha yetu. Ni neema kuu..{Prepared by Pastor P. Chuwa}
2 Peter 1:19-21 (NIV)
10-02-2017
The Bible is God’s Word. It was written under the inspiration of the Holy Spirit. .Biblia ni Neno la Mungu. Waandishi wa Biblia hawakuandika mawazo yao bali waliongozwa na Roho Mtakatifu..{Prepared by Pastor P. Chuwa}
Exodus 34:29-35 (NIV)
09-02-2017
We have the honour of speaking to God in prayer. Through Jesus Christ we can come freely to God in prayer at any time..Sisi tuna neema ya kuja kwa Mungu katika maombi kila wakati kupitia Yesu Kristo. {Prepared by Pastor P. Chuwa}
2 Corinthians 3:12-18 (NIV)
08-02-2017
It is by Grace that we are saved through faith not of works, so no man should boast...Tumeokolewa kwa neema kwa njia ya imani si kwa matendo ya sheria ili mtua yeyote asijivunie..{Presented by Pastor P. Chuwa}
Isaiah 42:1-9 New International Version (NIV)
07-02-2017
Jesus came for all people. He brings physical and spiritual healing for all people...Yesu Kristo alikuja kwa watu wote. Yesu alikuja kuleta haki na kuwa nuru ya kimataifa. {Presented by Pastor P. Chuwa}
Daniel 4:34-37 New International Version (NIV)
06-02-2017
Let us be humble and give all the glory to God. Tusiwe na kiburi. Tumheshimu na kumtukuza Mungu. {Presented by Pastor P Chuwa}
Psalm 50:1-12, 2 Corinthians 3:12-18, Luke 9:28-36 (NIV)
05-02-2017
In Jesus Christ God reveals Himself to us fully. Yesu Kristo anatunonesha kwa ukamilifu jinsi alivyo Mungu..{Presented by Pastor Chuwa}
Genesis 33:1-17 New International Version (NIV)
31-01-2017
God can bring peace and harmony where there are conflicts. Mungu anaweza krejesha amani na upendo pale kwenye chuki na mafarakano. {Presented by Pastor Chuwa}
Mark 1:21-28 New International Version (NIV)
30-01-2017
Jesus is God. He taught with authority which amazed the people...Yesu ni Mungu, ni mwenye mamlaka yote. Yesu alifundisha Neno la Mungu kwa Mamlaka. {Presented by Pastor P. Chuwa}
Psalm 32:1-8, Matthew 10:16-23, Jeremiah 32:16-27 (NIV)
29-01-2017
Jeremiah asks God for guidance and God reminds Jeremiah that nothing is too hard for God. ...Yeremia anaomba msaada kwa Mungu. Mungu alimjibu na kukiri kwamba anaweza kumlinda Yeremia.

Pages