Search the Scriptures ourselves so we may not be deceived. Tuwe watu wa kusoma na kutafakari Biblia wenyewe ili tusipotoshwe. {Pastor P Chuwa}
  Luke 14:7-11
  15-08-2018
  God will uplift those who are humble. Mungu atawainua wanyenyekevu. {Pastor P Chuwa}
  Psalm 106:40-47 (Zaburi 106:40-47)
  14-08-2018
  Let us be faithful and obedient to God. Tuwe waaminifu na watii kwa Mungu wetu. {Pastor P. Chuwa}
  Acts 12:20-23 (Matendo 12:20-23)
  13-08-2018
  Glory be to God alone. Utukufu ni wa Mungu pekee.{Pastor P. Chuwa}
  Amos 1:1-5
  10-08-2018
  Be a blessing to other people . Uwe baraka kwa watu wengine. {Pastor P. Chuwa}
  Proverbs 21:28-31 (Methali 21:28-31)
  09-08-2018
  Put everything in God's hands. Kabidhi mambo yako yote kwa Mungu. {Pastor P. Chuwa}
  Proverbs 11:1-7 ( Methali 11:1-7)
  07-08-2018
  Be honest and diligent in all you do. Kuwa mwaminifu na mwadilifu katika yote ufanyayo. {Pastor P Chuwa} 
  Mathew 5:17-20
  04-08-2018
  We cannot be saved by our actions. Hatuokolewi kwa matendo yetu. (Pastor P Chuwa) 
  Philippians 1:27-30 ( Wafilipi 1:27-30)
  03-08-2018
  With Jesus, we can overcome our mountains. Tukiwa na Yesu tunaweza kushinda matatizo yetu. {Pastor P Chuwa}
  