Psalm 50:1-12, 2 Corinthians 3:12-18, Luke 9:28-36 (NIV)
05-02-2017
In Jesus Christ God reveals Himself to us fully. Yesu Kristo anatunonesha kwa ukamilifu jinsi alivyo Mungu..{Presented by Pastor Chuwa}
Genesis 33:1-17 New International Version (NIV)
31-01-2017
God can bring peace and harmony where there are conflicts. Mungu anaweza krejesha amani na upendo pale kwenye chuki na mafarakano. {Presented by Pastor Chuwa}
Mark 1:21-28 New International Version (NIV)
30-01-2017
Jesus is God. He taught with authority which amazed the people...Yesu ni Mungu, ni mwenye mamlaka yote. Yesu alifundisha Neno la Mungu kwa Mamlaka. {Presented by Pastor P. Chuwa}
Psalm 32:1-8, Matthew 10:16-23, Jeremiah 32:16-27 (NIV)
29-01-2017
Jeremiah asks God for guidance and God reminds Jeremiah that nothing is too hard for God. ...Yeremia anaomba msaada kwa Mungu. Mungu alimjibu na kukiri kwamba anaweza kumlinda Yeremia.
James 2:1-7 (NIV)
28-01-2017
We often look on the outward appearance but God sees what is in a person’s heart. Mara nyingi tunajali yaliyonekana nje bila kujua ya ndani ya mtu. {Presented by Pastor P Chuwa}
Proverbs 12:1-3 (NIV)
27-01-2017
Good people will obtain favor from the Lord ..Mungu anapendezwa na watu wanaomtii..{Presented by Pastor P. Chuwa}
Numbers 24:12-16 New International Version (NIV)
26-01-2017
Balaam was obedient to God. He was faithful in delivering the message which God gave him. ...Balaamu alikuwa mwaminifu kwa Mungu. Alitoa ujumbe aliopewa na Mungu kwa usahihi. {Presented by Pastor P. Chuwa}
Luke 4:38-44 New International Version (NIV)
25-01-2017
In all this work Jesus depended upon His heavenly Father. He knew that He must spend time in prayer. ..Katika kazi zake zote alimtegemea Mungu. Yesu alitafuta nafasi ya kimya kumwomba Mungu. {Presented by Pastor P. Chuwa}
1 Corinthians 3:16-23 New International Version (NIV)
24-01-2017
We have the joy of being Christians. The Holy Spirit lives in us so that we are God’s temple...Sisi tunafuraha kuwa Wakristo. Roho Mtakatifu anaishi ndani yetu. Sisi ni hekalu la Mungu. {Presented by Pastor P. Chuwa}
Mark 7:24-30 New International Version (NIV)
23-01-2017
Jesus did not come to the Jews only. Jesus came for all people...Yesu amekuja duniani si kwa wayahudi tu, bali kwa kila mtu. {Presented by Pastor P. Chuwa}

Pages