Let the word of God be your guiding light. Fanya neno la Mungu kuwa mwanga wa maisha yako. {Pastor P Chuwa}
  1 Corinthians 1:26-31 (1Wakorintho 1:26-31)
  01-08-2018
  We need the power of the Holy Spirit to enable us to understand God. Tunahitaji nguvu ya roho mtakatifu kumfahamu Mungu. {Pastor P Chuwa}
  Hebrews 13:17-19 (Waebrania 13:17-19)
  31-07-2018
  Respect those in authority. Waheshimu viongozi. {Pastor P Chuwa}
  Luke 5:36-39
  30-07-2018
  We cannot be saved by following a set of laws of religion. Hatuwezi kuokolewa kwa kufuata sheria za dini. {Pastor P Chuwa}
  2 Corinthians 2:5-11 (2Wakorintho 2:5-11)
  28-07-2018
  Forgive the offenders. Wasamehe wakosaji. {Pastor P Chuwa}
  Micah 7:18-20
  27-07-2018
  Our God is merciful. Mungu wetu ni mwenye huruma. {Pastor P Chuwa}
  Amos 9:11-15
  26-07-2018
  When you repents your sins, God will forgive and bless you. Unapotubu dhambi zako, Mungu atakusamehe na kukubariki. {Pastor P. Chuwa}
  2 Corinthians 7:11-12 (2 Wakorintho 7:11-12)
  25-07-2018
  Forgiveness brings inner peace. Kusamehe kunaleta amani moyoni. {Pastor P Chuwa}
  Jeremiah 2:4-13
  24-07-2018
  Put God before everything else in your life. Mungu awe kwanza kuliko mambo mengine yote katika maisha yako. {Pastor P Chuwa}
  