Psalm 91:11-16, Matthew 4:1-11, 1 Kings 3:4-15 (NIV)
05-03-2017
God has called each one of us to follow Him. Each of us has been given a special task in life...Mungu ametuita sisi sote, na kila mmoja amepewa nafasi ya kipekee kumtumikia Mungu. {By Pastor P Chuwa}
Acts 2:36-38 (NIV)
04-03-2017
Thank God that you are part of the World wide Christian church which began in Jerusalem on the day of Pentecost....Mshukuru Mungu kwa kuwa mmoja wa kanisa la Kristo la ulimwengu mzima lililozaliwa rasmi Jerusalem siku ya Pentekoste..{By Pastor P. Chuwa}
Numbers 27:1-11, Matthew 20:1-16 (NIV)
03-03-2017
All who confess Jesus Christ to be the Lord and saviour of their lives will receive the Gift of salvation and Eternal Life in heaven with God, regardless of the time they were saved... Wote wanaomkiri Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yao, watapokea zawadi ya ukombozi na maisha ya milele mbiguni na Mungu bila kujali ni wakati gani wameokoka.
Jonah 3 (NIV)
02-03-2017
Do you need to humble yourself before God and repent of your sins? During this time of Lent draw close to God in prayer....Je! Unahitaji kuja mbele ya Mungu kwa toba? Msimu hii wa Kwaresma ni nafasi maalumu ya kujinyenyekeza mbele ya Mungu kwa toba na kufunga...{By Pastor Chuwa}
Psalm 51:1-10, Acts 2:36-38, Matthew 6:16-18 (NIV)
01-03-2017
Today is Ash Wednesday and the first day of Lent. . It is a spiritual exercise to deny ourselves and spend more time with God in prayer and Bible reading. We should also examine our lives and repent our sins...Leo ni Jumatano ya Majivu na siku ya kwanza katika kipindi cha Kwaresma. Ni muda wa kujinyima na kupata nafasi kuwa karibu na Mungu katika kuomba na kusoma Neno la Mungu, na kujichunguza mwenendo wetu, na kutubu dhambi zetu...{By Pastor P. Chuwa}
Hebrews 2:5-10 (NIV)
27-02-2017
Jesus died on the cross being punished for our sins. Christ did this for us so that we sinners can be reconciled to God. .Yesu alikufa msalabani akibeba dhambi zetu, ili sisi wenye dhambi tupanishwe tena na Mungu. {By Pastor P. Chuwa}
Jeremiah 45 (NIV)
23-02-2017
When you read His Word in the Bible and when you pray ask God to speak to you personally...Wakati unasoma Biblia na wakati wa maombi, umwombe Mungu akupe Neno kwa nasfi yako. ..{ By Pastor P. Chuwa}
Mark 4:1-9 (NIV)
22-02-2017
When God’s Word is preached and taught and when people read the Bible they react in a variety of different ways...Watu wakisikia mahubiri na mafundisho ya Neno la Mungu na kusoma Biblia wanapokea kwa njia tofauti. ..{By Pastor P. Chuwa}
Matthew 16:19-20 (NIV)
21-02-2017
As Christians we are not to try to live our lives apart from the Church. Each of us needs to belong to a particular congregation....Wakristo wote tunapaswa kuwa washarika wa usharika fulani. Tusihame hame makanisa. Tuwe mahali ambapo tutalelewa kiroho na kupata mashauri ipasavyo. ..{By Pastor P. Chuwa}
Matthew 10:1-15 (NIV)
20-02-2017
Jesus sent His Apostles out in twos to preach and teach and heal the sick after giving them instructions. ..Yesu alituma Mitume wawili wawili kuhubiri injili na kuponya wagonjwa, baada ya kuwapa maelekezo...{By Pastor P Chuwa}

Pages