Exodus 16:11-15 (NIV)
31-03-2017
Jesus sustains our lives and He is the one who gives us Eternal Life...Tumshukuru Mungu anatupa chakula cha kimwili lakini tukumbuke pia umuhimu wa kusoma Neno la Mungu kila siku na kumtegemee Yesu kama Bwana na Mwokozi wetu. Yesu anatupa Uzima wa Milele.
Isaiah 64:6-12 (NIV)
30-03-2017
We are all sinners and we cannot do anything to please God in our own strength. . Sisi binadamu ni wenye dhambi na hatuwezi kumfurahisha Mungu kwa nguvu zetu wenyewe. {By Pastor P. Chuwa}
2 Corinthians 7:13-16 (NIV)
28-03-2017
Paul had sent Titus to visit the Church at Corinth to see their progress and to advise and encourage them..Mtume Paulo alimtuma Tito kutembelea Wakristo kule Korintho. Alitaka kujua hali yao na kuwatia moyo. ..{By Pastor P. Chuwa}
Psalm 119:1-14, Galatians 5:1, John 6:1-14 (NIV)
26-03-2017
When we are willing to give to Jesus freely what we have He will take it and use it to bless us and other people...Yesu atapokea kile kidogo tulichonacho na kukizidisha ili kibariki watu wengi. {By Pastor P. Chuwa)
Luke 9:51-56 (NIV)
25-03-2017
Thank God that Jesus came for all people. Do not discriminate against people based on their nationality or tribe...Yesu hana ubaguzi. Na sisi tusibague watu kwa sababu ya Taifa au kabila lao. {By Pastor P. Chuwa}
Esther 8:9-14 (NIV)
23-03-2017
Pray that God would guide you as to the work that He has for you and help you to be faithful in doing His will...Mwombe Mungu uweze kujua nafasi yako na kutekeleza wajibu wako kwa uaminifu...{By Pastor P. Chuwa}
John 9:35-41(NIV)
22-03-2017
Jesus had healed a blind man on the Sabbath day. The Pharisees were annoyed with Jesus because they said He had broken the Sabbath. Yesu amliponya kipofu siku ya Sabato. Mafarisayo walikasirika kwa sababu waliona kwamba amevunja amri ya kupumzika siku ya Sabato...{By Pastor P. Chuwa}
Psalm 25:1-7, John 9:35-41, Genesis 2:15 (NIV)
20-03-2017
Jesus wants to change us Christians so that we can be a blessing in the world and change the environment in every way for the better..Yesu anataka sisi Wakristo tubadilike na tubadilishe mazingira, kiroho na kimwili. {By Pastor P. Chuwa}
Genesis 27:41-45 (NIV)
17-03-2017
Let us pray for love and harmony in our families and do what we can to reconcile any disputes in our own family...Tujitahidi kuleta amani na mapatano katika familia zetu..{By Pastor P Chuwa}
2 Samuel 12:26-31 (NIV)
16-03-2017
Let us learn to co-operate with others and not try to take all the glory for ourselves....Tujifunze kushirikiana na wengine na tusitafute kusifiwa sisi tu...{By Pastor P. Chuwa}

Pages