PSALM 106:7-9 (NIV)
18-05-2017
God reaches out to help a man for the sake of His name.....Mungu hunyoosha mkono wake kumsaidia mtu kwa ajili ya Jina lake. {By S. Jengo}
LUKE 19:17-20 (NIV)
17-05-2017
Only faith in the Name of Jesus and faith in the cleansing power of the Blood of Christ Jesus can save us....Ni imani katika Jina la Yesu, na imani kwa damu yake itakasayo, ndiyo inayoweza kutuokoa.{By S. Jengo, Elder}
JOHN 14:12 (NIV)
16-05-2017
There is yet a song that you can sing to God. God is willing to work with anyone who is willing to cooperate with Him..Mungu anaweza kumshirikisha yeyote kwenye mipango yake, ili mradi uwe tayari kushirikiana naye..{By S. Jengo, Elder}
ISAIAH 65:17-18, PSALM 33:8-11 (NIV)
15-05-2017
God gives you a new song when He turns His prophecies into decrees. Mungu akitaka kuibadilisha huzuni yako kuwa furaha, na kukujaza wimbo mpya, huamuru alichosema kitokee! {By S. Jengo, Elder}
1Peter 5:10 (NIV)
13-05-2017
Forbid extensions...Kataa shinikizo la maisha juu yako {By S. Jengo, Elder)
2Corithians 12:19-21(NIV)
13-05-2017
Fear of God..Kumcha Mungu
DEUTERONOMY 4:27-29
12-05-2017
Return to God with your whole heart...Mrudie Mungu kwa moyo wako wote...{By Elder S. Jengo}
2Corinthians 5:17-19 (NIV)
10-05-2017
It is impossible to have an encounter with Jesus and not to become a Christian..Hakuna anayekutana na Yesu asiwe mkristo..{By Elder S. Jengo}
JOSHUA 6:1-8
09-05-2017
There is a price to pay in new life in Christ..Kuna gharama katika maisha mapya na Yesu...{By Elder S. Jengo}
Genesis 17:1-9 (NIV)
08-05-2017
Jubilate, the new life in Christ, be perfect...Maisha mapya ndani ya Yesu, uwe mkamilifu..{By Edlder S. Jengo}

Pages