Psalm : 73:24-28, John 1:11-13, Jeremiah 1:17-19 (NIV) Zaburi 73:24-28, Yohana 1:11-13, Yeremia 1:17-19
16-07-2017
Depend on the Lord and he shall give you strength to carry on...Mtegemee Mungu naye atakuwezesha.. {By Pr. P. Chuwa}
2 Kings 6:18-23 NIV {2 Wafalme 6:18-23}
15-07-2017
Jesus told us to love our enemies and pray for them.. Yesu alituambia tuwapende maadui zetu na tuwaombee..{ By Pr. P. Chuwa}
Psalm 69:20 NIV {Zaburi 69:20}
14-07-2017
Let's care for others..Tuwajali watu wengine..{By Pastor P. Chuwa}
PROVERBS 17:23 NIV {MITHALI 17:23}
13-07-2017
Resist bribery..Pingana na Rushwa..{By Pr. P. Chuwa}
Deuteronomy 29:1-9 NIV {Kumbukumbu la Torati 29:1-9}
10-07-2017
Look out every day for the hand of God in your life. .. Tafuta kuuona mkono wa Mungu kila siku katika maisha yako. {By Pr. P Chuwa}
2 Corinthians 3:1-3 NIV {2 Wakorintho 3:1-3}
08-07-2017
Your life is also a letter...Maisha yako ni kama barua..{By Pr. P. Chuwa}
Job 22:21 NIV {Ayubu 22:21}
06-07-2017
Listen to God, follow his guidance and be blessed.. Msikilize Mungu na ufuate njia zake ubarikiwe. {By Pr. P. Chuwa}
Mathew 16:24-28 NIV {Mathayo 16:24-28}
05-07-2017
Let us see how we can be a blessing to others today and every day..Tutafute namna ya kuwa baraka kwa watu wengine katika maisha yetu ya kila siku..{By Pr. P. Chuwa}
2 Timothy 1:3-7 NIV {2Timotheo 1:3-7}
04-07-2017
Thank God for those people who lead you to Christ and who have helped and encouraged you in your spiritual life. Mshukuru Mungu kwa watu waliokuleta kwa Kristo na waliokulea kiroho...{By Pr. P. Chuwa}
Revelation 2:8-11 NIV { Ufunuo 2:8-11}
03-07-2017
Let us be patient in suffering and not become discouraged but persevere in following Christ. Tuvumilie katika maisha yetu ya Imani. Tuendelee kumfuata Yesu Kristo. ..{By Pr. P. Chuwa}

Pages