Ezekiel 33:1-9
08-05-2019
As Christians we are called to be 'Spiritual watchmen'. Kama Wakristo tunaitwa kuwa 'Walinzi wa kiroho'. {Pastor P Chuwa}
Jeremiah 31:10-13
07-05-2019
Praise God for His blessings and provision in your life. Tafakari baraka na utunzaji wa Mungu katika maisha yako. Mshukuru Mungu. {Pastor P Chuwa}
1Peter 2:24-25
06-05-2019
Jesus is the Good Shepherd. Yesu ni mchungaji mwema. {Pastor P Chuwa}
Genesis 18:1-5 (Mwanzo 18:1-5)
03-05-2019
As Christians we are encouraged to show hospitality. Wakristo tunahamasishwa kuwa wakarimu. {Pastor P Chuwa}
Exodus 4:1-9 (Kutoka 4:1-9)
02-05-2019
God calls each one of us for different tasks. Mungu ameuita kila mmoja wetu kwa kazi maalum. {Pastor P Chuwa}
Acts 2:22-29
01-05-2019
Prophets lived and died. Jesus died and rose again and lives forever.
Genesis 45:1-15 (Kutoka 45:1-15)
30-04-2019
Serve God faithfully wherever He has placed you. Mtumikie Mungu kwa uaminifu popote alipokuweka. {Pastor P Chuwa}
Exodus 4:10-17 (Kutoka 4:10-17)
29-04-2019
When God calls you for his work, he will enable you. Mungu akikuita kwa kazi yake, atakuwezesha. {Pastor P Chuwa}
1Corinthians 15-20
27-04-2019
Trust in Jesus as your Lord and Saviour. Mwamini Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wako. {Pastor P Chuwa}
Exodus 29:43-46 (Kutoka 29:43-46)
26-04-2019
God is very close to us .Let us worship and obey Him always. Mungu yuko karibu kabisa na sisi. Tumwabudu na tumfuate siku zote. {Pastor P Chuwa}

Pages