John 5:1-9 (Yohana 5:1-9)
12-10-2018
Trust Jesus fully. Mwamini Yesu bila mashaka yoyote. {Pastor P. Chuwa}
John 9:24-34 (Yohana 9:24-34)
11-10-2018
Pray that God opens your eyes to see the truth...Omba Mungu akufungue macho yako ya kiroho uone ukweli. {Pastor P. Chuwa}
Acts 3:1-10 (Matendo 3:1-10)
10-10-2018
Thank God for all the many blessings received. Mshukuru Mungu kwa baraka nyingi unazopokea kutoka kwake. {Pastor P Chuwa}
Luke 5:17-26
09-10-2018
Jesus is Son of God with all authority..Yesu ni Mwana wa Mungu mwenye mamlaka yote. {Elder C. Swai}
Mathew 18:10-14
06-10-2018
We are responsible to care for children.. Tunawajibika kutunza watoto. {Pastor P. Chuwa}
Isaiah 8:16-18
05-10-2018
Ask God to bless and guide your family. Omba Mungu abariki na kuiongoza familia yako. {Pastor P. Chuwa}
2 John 1:4-5 (2 Yohana 1:4-5)
03-10-2018
Jesus says; Love one another. Yesu anasema; Pendaneni. {Pastor P. Chuwa}
Matthew 19:13-15
02-10-2018
Jesus loves children. Yesu anapenda watoto. {Pastor P. chuwa}
Proverbs 1:7-9 (Methali 1:7-9)
01-10-2018
Children are encouraged to listen to their parents and to follow their advice.Watoto wanashauriwa kuwasikiliza na kutii wazazi wao. {Pastor P. Chuwa}
Psalm 103:8-13, 2 John 1:4-5, Matthew 18:1-10
30-09-2018
Jesu loves Children. Yesu apenda watoto. {Pastor P. chuwa}

Pages