Let us be faithful and obedient to God. Tuwe waaminifu na watii kwa Mungu wetu. {Pastor P. Chuwa}
Acts 12:20-23 (Matendo 12:20-23)
13-08-2018
Glory be to God alone. Utukufu ni wa Mungu pekee.{Pastor P. Chuwa}
Amos 1:1-5
10-08-2018
Be a blessing to other people . Uwe baraka kwa watu wengine. {Pastor P. Chuwa}
Proverbs 21:28-31 (Methali 21:28-31)
09-08-2018
Put everything in God's hands. Kabidhi mambo yako yote kwa Mungu. {Pastor P. Chuwa}
Proverbs 11:1-7 ( Methali 11:1-7)
07-08-2018
Be honest and diligent in all you do. Kuwa mwaminifu na mwadilifu katika yote ufanyayo. {Pastor P Chuwa}
Mathew 5:17-20
04-08-2018
We cannot be saved by our actions. Hatuokolewi kwa matendo yetu. (Pastor P Chuwa)
Philippians 1:27-30 ( Wafilipi 1:27-30)
03-08-2018
With Jesus, we can overcome our mountains. Tukiwa na Yesu tunaweza kushinda matatizo yetu. {Pastor P Chuwa}
Psalm 19:7-14 (Zaburi 19:7-14)
02-08-2018
Let the word of God be your guiding light. Fanya neno la Mungu kuwa mwanga wa maisha yako. {Pastor P Chuwa}
1 Corinthians 1:26-31 (1Wakorintho 1:26-31)
01-08-2018
We need the power of the Holy Spirit to enable us to understand God. Tunahitaji nguvu ya roho mtakatifu kumfahamu Mungu. {Pastor P Chuwa}